Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
karne ya 21 unaingizwa kwenye mikataba feki nawe unakubali? wameshawahi kuwa na bunge/baraza la mawazir wapi hapa Tanzania?Wale ambao Lissu kawafataa....
Walio iba madini....
Waliotuingiza mikataba feki.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Both Mabeberu na Mafisadi are the mythical creatures. Ni viumbe wa kufikirika... These are technical jargon Used for political purpose only...Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?
- Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
- Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawsfurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao I 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Alafu chadema ndo walisaini hii mikataba sasaWale ambao Lissu kawafataa....
Walio iba madini....
Waliotuingiza mikataba feki.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Someone who is patriotic loves their country and feels very loyal towards it.Samahani mkuu na Mimi sielewi Mzalendo maana yake Nini, hebu fafanua maana ya Mzalendo/Uzalendo hasa hii ambayo imekuwa ikongelewa Sana siku hizi kuwa vijana kuweni wazalendo au watu wasio wazalendo [emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
..na wale waliokuwa wanasaini mikataba ya ajabu ajabu kama vile wamefumba macho au kama waliokimbia umande, wanaitwaje hao?Wale ambao Lissu kawafataa....
Walio iba madini....
Waliotuingiza mikataba feki.....
Sent using Jamii Forums mobile app
UKWELI MCHUNGU: Ukikuta nchi/utawala u/i/mepoteza dira na mwelekeo jua kutakuwa na MAADUI WASIOJULIKANA WAKITAJWA.Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?
- Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
- Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawsfurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao I 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?
- Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
- Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawafurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao ni 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Daah kweli kabisa.Mabeberu ni neno la enzi za mwalimu. Wote ambao hawakua wanaunga mkono sera za kijamaa waliitwa mabeberu, wanyonyaji, wasiotutakia mema na mambo kama hayo.
Watu wote waliokua wanahoji utendaji kazi wa mwalimu aliwaita mabeberu. Ukimpinga mwalimu unakua beberu.
Mabeberu kwa ujumla ni wazungu. Wazungu hao wakituchangia kwenye bajeti na miradi wanaitwa wahisani na washirika wetu wa maendeleo. Wakihoji matumizi ya pesa walizotupatia kama msaada wa maendeleo na kusaidia bajeti wanakua mabeberu.
Ukiwajua, nistue.Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?
- Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
- Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawafurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao ni 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Ni akina nani hasa ndio 'Mabeberu' ili nami kama mtanzania mzalendo nijiweke kando na mbali nao?
- Inasemwa kuwa nchi yetu iko kwenye vita ya kiuchumi na maadui wakuu vitani humo ni 'mabeberu'.
- Wapo watanzania na wasio watanzania wanaotajwa kutumiwa na 'Mabeberu' kutukwamisha kwenye vita ya kiuchumi tuipiganayo Kama taifa.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' hawafurahii kuiona Tanzania ikipiga hatua za kiuchumi, kisiasa na kijamii.
- Inasemwa kuwa 'Mabeberu' wako macho na bize na mipango yao ya kutukwamisha. Kuwa karibu yao ni 'usaliti' kwa Tanzania, husemwa.
Toleo jipya la Kamusi ya zamani ya Lumumba (revised CCM dictionary). Toleo la zamani la miaka ya 70 na 80 ilikuwa imesheheni msamiati wa 'mabeberu', 'mabepari', 'makabaila', 'mirija', 'kupe' nk kama propoganda ya kutukuza itikadi ya ujamaa. Toleo la miaka ya 90 hadi majuzi (pre-Magufulization) 'mabeberu/mabepari/makabaila' wakageuka kuwa 'waekezaji', 'wahisani' na 'wadau wetu wa maendeleo'. Kama Jenerali alivyotudokeza kuwa katika awamu ya 5 zinapandwa mbegu za kuturudisha nyuma miaka 50, Magufulization haiwezi kufikia malengo bila kuibua 'kamusi' ya ujamaa, na ndio sababu za ufufuko wa "mabeberu". Ukiunda utopian goals, ni lazima pia uunde na Mnyamwezi wa kubebesha lawama (= adui). Kwa hivyo tutawasikia sana 'mabeberu' katika awamu hii ya Magufulization!Mabeberu ni ideal tu hawapo sijui nani karudisha fikra hizi Karne hii ya 21.
Sent using Jamii Forums mobile app