Kuuliza si ujinga: Katika ugo wa kisiasa hapa Tanzania, 'Mabeberu' ni akina nani hasa?

Usichokijua ni kuwa Mabeberu yanatutegemea pia sisi

Africa ikiacha kukopa mabenki yao yatafilisika na fedha zao zitakosa thamani km za kwetu

Tusipowauzia madini na malighafi wataendeshaje viwanda vyao?

Funguka wewe mwanachadema
 
Katika huo mtegemeano nani anayeumia? Na kama ni sisi tunaoumia kwanini tusiache kukopa na kuwauzia madini na malighafi?

Tanzania na Africa tukijitenga na dunia haitachukua miaka mingi kugundua vitu vyetu

Ni wazi hao Mabeberu tanatuhitaji sisi ili waendelee kujiita matajiri

Katika huo mtegemeano nani anayeumia? Na kama ni sisi tunaoumia kwanini tusiache kukopa na kuwauzia madini na malighafi?
 
Ubeberu ni tabia hata wewe hapo unawez kuwa ni beberu, kwa jinsi unavyowaamlia wangine bila kuwapa haki utu ma kuwanyonya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…