Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nimekuwa mfuatilia kiasi kwenyw mijadala ya page za CAF mtandaoni nimekutana sana na hili neno snake kuwahusu Mamelod.
Na leo kuna mtu amewashauri Orlando waazime snake wa Mamelod wakija kucheza na Simba kwa sababu Simba kwao wanatumia African magic witchcraft iliyosababisha Kaizer Chief ilipocheza na Simba hawakuweza kuliona goli.
Sasa swali snake wa Mamelod ni kitu gani hicho? Maana Mamelod wanapiga mtu nje ndani roga utakavyoweza wakija wao wanamaliza shughuri na snake wao, je snake huyo ni nini?