Kuuliza si ujinga, Mamelod Sundowns wa "Snake" yupi anaeongelewa sana kwenye mijadala ya CAF

Kuuliza si ujinga, Mamelod Sundowns wa "Snake" yupi anaeongelewa sana kwenye mijadala ya CAF

Hawana maarifa hayo, yaani utopolo wakiwekewa taarifa kwenye group, basi huwa wanaforward tu bila hata kujiongeza. Wengi wanachojua ni kupost, lakini kusearch hawawezi.
NB: ukiondoa wawili tu, JK na Baba Haji
Busara ni kujibu ulichoulizwa!!, Hujui Kaa Kimya sio kutuonesha upuuzi wako.
 
Nimekuwa mfuatilia kiasi kwenyw mijadala ya page za CAF mtandaoni nimekutana sana na hili neno snake kuwahusu Mamelod.

Na leo kuna mtu amewashauri Orlando waazime snake wa Mamelod wakija kucheza na Simba kwa sababu Simba kwao wanatumia African magic witchcraft iliyosababisha Kaizer Chief ilipocheza na Simba hawakuweza kuliona goli.

Sasa swali snake wa Mamelod ni kitu gani hicho? Maana Mamelod wanapiga mtu nje ndani roga utakavyoweza wakija wao wanamaliza shughuri na snake wao, je snake huyo ni nini?
M/load analia huko
 
Back
Top Bottom