Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Mwenye tarifa na video za madhara yaliyosababishwa na silaha hatari zaidi duniani aina ya Oreshnik iliyotengenezwa kwa technology ya juu kabisa huku ikishuhudiwa na warusi wa Chanika, gongolamboto na ushetu
Karibuni mtujuze
Imekuwa kila anayeandika kuihusu aina hii ya silaha, anaisifia sana ila anajisahau kusema madhara iliyosababisha huko kwa Zele baada ya kufyatuliwa jana na vijana wa Putin
Halafu, vijana wengi wa kwa Mtogole, kila mnapozisifia silaha za Mrusi, mnahitimisha kusema, eti aina hizo hazipo tena kwa nchi nyingine yoyote Duniani.
Mnataka hizo nchi ambazo hazipigani vita, vitoe hizo silaha kwa kumpiga nani?
Nimalizie kusema hivi, tambo za Putin zina mwisho wake, wenye dunia yao wanamcheki tu.
Wameruhusu Zele atumie silaha za masafa marefu kwa Putin, Putin badala aipige Washington, anaanza kulia lia!