Kuuliza si ujinga; Silaha mpya ya Russia aina ya Oreshnik, imeleta madhara gani Ukraine?

Kuuliza si ujinga; Silaha mpya ya Russia aina ya Oreshnik, imeleta madhara gani Ukraine?

Saa nyingine ni ujinga ni kama vile umuulize babako Hivi ukilala na mama huwa mnafanyanini? Je huo ni ujinga au welevu myukreni wewe
Wenye mtindio wa ubongo kama wewe, ni marufuku kuchangia uzi huu
 
Mifumo gani ya anga waliyo nayo ilhali vitu vimepenya na kutwanga ardhi ya Ukraine!?
Wangekua wako vizuri kianga Ukraine ingekua na magofu mengi?
Iyo kupenya ni kila mahali mkuu ata Israel si walisema wana mfumo bora duniani wa anga Iron Dome mbona haukuzuia makombora ya Iran? Pale Kyiv ni salama sana uta usikie russia anapiga vip mabom shughuli zao zinaendelea kama kawaida, bunge na mikutano kama kawaida
 
Una uhakika Kyiev hakujapigwa mabomu kaka!?
Bora hata Israel inajitahidi kuliko Ukraine ambayo kila mkoa lazima uone kuna magofu ikiwemo hiyo Kyiev.
 
Una uhakika Kyiev hakujapigwa mabomu kaka!?
Bora hata Israel inajitahidi kuliko Ukraine ambayo kila mkoa lazima uone kuna magofu ikiwemo hiyo Kyiev.
Kyiv ni salama mkuu tunaona kwenye media na TV shughuli za serikali zinaenda kwenye majengo salama kabisa, viongozi wa kigeni wanapokelewa kwenye majengo safi kabisa full AC, bunge lao lipo salama
 
24 hours sasa miaka 2 bado mko mpakani 😂, nyie vipi na askari wa kiduku Korea mliowanunua ila nasikia wanafyekwa mbaya
Hivi una habari kama Russia imeimega 20% + ya ardhi ya Ukraine!?
Au unataka tukuletee ripoti!?
 
Kusubiri ndio nini mkuu!

Leta tarifa za madhara chief achana a,e,i,o,u
Usimkabe sana shujaa....funga kwa maombi ili Ukraine warushe stomshadow tena....kwanza nasikia wanazo 50...asa siwazitumie tu pale Kusk
 
Mshale unaua na risasi inaua, lakini kwanini risasi ni hatari kuliko mshale? Sababu ni kutokuzulilika kwa risasi, yaani tofauti na Mshale, ukilenga risasi kutokufikia destination % ni almost 0.

Sasa hili bomu inasemekana likitumwa linafika, eneo lililokusudiwa lidhurike litadhurika.

Ubora wa hili dude unasifiwa kwa sababu inasemekana, Narudia... Inasemekana hakuna tech ya kulizuia lisifike lilipotumwa.
 
Mkuu, ni madhara sana kufa kwa watu, shida ni kwamba, zile sifa za Oreshnik zimepita kiasi, nilidhani yenyewe ingesababisha Zele aseme vita basi tena
Kwa maoni yako wewe madhara mapya ni yapi!? Ulitaka mbingu zishuke chini ardhi ipande juu!? Maana hilo ndio tukio linaloweza kuwa jipya duniani,mengine yote ni yaleyale ya zamani yanajirudia tu kwa namna tofauti.
 
Mkuu, na wewe umeshindwa kuelezea upya na madhara makubwa yenye kutisha yalosababishwa na Oreshink, unaanza kulalamika tu sasa!
Huna jibu kaa kimya mkuu
 
NATO wa buza Kwa mipasho!!
Muambieni ndugu yenu Ukraine asimame peke yake bila NATO tuone kama atachukua round.
Russia hadi wameleta askari wa kukodi kutoka North Korea, vita sio lelemama...😂😂😂
 
Back
Top Bottom