Kuuliza si ujinga; Silaha mpya ya Russia aina ya Oreshnik, imeleta madhara gani Ukraine?

Mwenye tarifa na video za madhara yaliyosababishwa na silaha hatari zaidi duniani aina ya Oreshnik iliyotengenezwa kwa technology ya juu kabisa huku ikishuhudiwa na warusi wa Chanika, gongolamboto na ushetu

Karibuni mtujuze

Imekuwa kila anayeandika kuihusu aina hii ya silaha, anaisifia sana ila anajisahau kusema madhara iliyosababisha huko kwa Zele baada ya kufyatuliwa jana na vijana wa Putin

Halafu, vijana wengi wa kwa Mtogole, kila mnapozisifia silaha za Mrusi, mnahitimisha kusema, eti aina hizo hazipo tena kwa nchi nyingine yoyote Duniani.

Mnataka hizo nchi ambazo hazipigani vita, vitoe hizo silaha kwa kumpiga nani?

Nimalizie kusema hivi, tambo za Putin zina mwisho wake, wenye dunia yao wanamcheki tu.

Wameruhusu Zele atumie silaha za masafa marefu kwa Putin, Putin badala aipige Washington, anaanza kulia lia!
Dinipro wamepiga jengo 1 hivi na kuua mtu mmoja
 
Nilikuwa naangalia Aljazeera Jana walikuwa wanazungumzia sehemu lilipopiga hilo kombora wameonyesha nyumba imebomolewa paa na vifusi vidogo vidogo
 
Akimpiga UK tayari itakuwa mwanzo wa WWIII
Akipigwa uk nadhni dunia itabid isareli ijiandae kwa uhaba wa silaha maana kama mwaka mmoja hajashinda vita vyake baada ya hapo ni kila mtu apambane na hali yake amna atakaye export silaha ili hali kwake kuna hatari ya vita
 
Ukraine wako vizur kwenye mifumo ya anga kuzuia
Mifumo gani ya anga waliyo nayo ilhali vitu vimepenya na kutwanga ardhi ya Ukraine!?
Wangekua wako vizuri kianga Ukraine ingekua na magofu mengi?
 
Mwenye tarifa na video za madhara yaliyosababishwa na silaha hatari zaidi duniani aina ya Oreshnik iliyotengenezwa kwa technology ya juu kabisa huku ikishuhudiwa na warusi wa Chanika, gongolamboto na ushetu

Karibuni mtujuze

Imekuwa kila anayeandika kuihusu aina hii ya silaha, anaisifia sana ila anajisahau kusema madhara iliyosababisha huko kwa Zele baada ya kufyatuliwa jana na vijana wa Putin

Halafu, vijana wengi wa kwa Mtogole, kila mnapozisifia silaha za Mrusi, mnahitimisha kusema, eti aina hizo hazipo tena kwa nchi nyingine yoyote Duniani.

Mnataka hizo nchi ambazo hazipigani vita, vitoe hizo silaha kwa kumpiga nani?

Nimalizie kusema hivi, tambo za Putin zina mwisho wake, wenye dunia yao wanamcheki tu.

Wameruhusu Zele atumie silaha za masafa marefu kwa Putin, Putin badala aipige Washington, anaanza kulia lia!
Upo na hoja, wakujibu kwa ufasaha mkuu
 
Ogopa sana rada kushindwa kuona kombora maana hutajua linatageti wapi na huwezi kuwapa alert RAIA wako hill kombora limepigwa tupu bila kichwa cha nuclear wezenu wanalijadili huko
 
In fact all missiles can be intercepted especially when you have the right system at the right place at the right time. Such odds increase on very crucial locations.

The Russians apparently picked Dnipro — the city doesn't have the American Patriot air defence system which shot down the once tooted “hypersonic unbeatable missiles" (Kindzhals).

Because it would be too embarrassing if Ukraine shot down their “super weapon”.

An intermediate-range ballistic missile (IRBM) is a ballistic missile with a range of 3,000–5,500 km (1,864–3,418 miles), between a medium-range ballistic missile (MRBM) and an intercontinental ballistic missile (ICBM).

Classifying ballistic missiles by range is done mostly for convenience.

In principle there is very little difference between a low-performance ICBM and a high-performance IRBM, because decreasing payload mass can increase the range over the ICBM threshold.
 
Nimeona clip za ile bomu, kwa kweli mrusi yupo vizuri. ile bomu ilikuwa na vichwa 6 halafu yalikuwa yanadondoka kwa speed ya mwanga. Ni sababu viongozi wengi wa nchi za ulaya naona wamepata aina fulani ya homa.

Maana zile vichwa vikifungwa nuclear, halafu wakatandika missile 10 yenye vichwa 6 vya nyuklia, hapo nchi nzimq lazima ushenyentwe hahahaha
 
In fact all missiles can be intercepted especially when you have the right system at the right place at the right time. Such odds increase on very crucial locations.

The Russians apparently picked Dnipro — the city doesn't have the American Patriot air defence system which shot down the once tooted “hypersonic unbeatable missiles" (Kindzhals).

Because it would be too embarrassing if Ukraine shot down their “super weapon”.

An intermediate-range ballistic missile (IRBM) is a ballistic missile with a range of 3,000–5,500 km (1,864–3,418 miles), between a medium-range ballistic missile (MRBM) and an intercontinental ballistic missile (ICBM).

Classifying ballistic missiles by range is done mostly for convenience.

In principle there is very little difference between a low-performance ICBM and a high-performance IRBM, because decreasing payload mass can increase the range over the ICBM threshold.
Umeona clip ya ile bomu? Sio rahisi ku intercept ile kitu inakimbia speed ya mwanga
 
Ulivyoandika kiinglishi unaweza kusema umeongea cha maaaaaana 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Saa nyingine ni ujinga ni kama vile umuulize babako Hivi ukilala na mama huwa mnafanyanini? Je huo ni ujinga au welevu myukreni wewe
 
Kaa kwa kutulia na embe lako lenye pilipili hapo Namtumbo mjini
 
Back
Top Bottom