Kuuliza si ujinga; Silaha mpya ya Russia aina ya Oreshnik, imeleta madhara gani Ukraine?

washirika wa NATO na USA wakipigwa kipigo cha mbwa koko chenye madhara makubwa cha kutia aibu usitarajie kuona picha au video za madhara hayo...AIBU HUFICHWA
 
hawa ni BBC nakumegea kipande tu
 
washirika wa NATO na USA wakipigwa kipigo cha mbwa koko chenye madhara makubwa cha kutia aibu usitarajie kuona picha au video za madhara hayo...AIBU HUFICHWA
Je aliyepiga hana hizo video?

Mkuu, kwani hiyo teknorojia hiyo iko kwa hao NATO na USA pekee
 
Ile silaha hata haikuwa na bomu... Ni ujumbe umetumwa, next time inaweza kufungwa bomu
 
Kwa uandishi wako tu tayari umeshachagua upande ...hamuwezi kukubali maelezo yeyote ya upande wa pili ..we Baki hivyohivyo...vilio ndio vitakujuza nani anapigika. Over
 
Kwa uandishi wako tu tayari umeshachagua upande ...hamuwezi kukubali maelezo yeyote ya upande wa pili ..we Baki hivyohivyo...vilio ndio vitakujuza nani anapigika. Over
Mkuu, usipaniki, mtu kuwa upande wa pili hakukufanyi wewe ukose la kujibu hoja uishie kulaumu eti hayuko upande wako
 
Sawa mkuu, ni silaha! Haya lete video ya uharibifu wa Oreshnik
Mkuu walikua wanatuma tu message ila haikuwekwa warheads ndio maana zilitua bila mlipuko mkubwa ila zingekua na warheads mji mzima ungekua kuzimu.
 
Kuna vitu vingi sana mkuu huwa nakukubali sana, na kwenye hili pia nimekubali, maana huoepesi macho kusema kweli

Kuna wale wamesema imeaangamiza vijiiji na vijiji! Kumbe ni mashabiki wa Putin
 
Hiyo pointi ya pili, unaiandika si kwa moyo mweupe mkuu, kunjua roho, andika kile kinaulizwa na kimetokea kwa Zele
Hakuna swali hapo wewe unauliza kama Kuna madhara kwenye eneo lililodondoshewa bomu unataka tukujibu Nini?
 
Putini amealibiwa na bangi za mkoa MARA
 
Hakuna swali hapo wewe unauliza kama Kuna madhara kwenye eneo lililodondoshewa bomu unataka tukujibu Nini?
Kwa hali hii, bila ya shaka, wewe uuliingia moja kwa moja kuchangia hoja bila kusoma uzi wote

Watu wote wanakubali kwamba, kila silaha ina madhara yake, lakini kuna silaha ambayo ikipigwa mahali, inajitofautisha na silaha zingine, maana yake yenyewe inakuwa ni ya kipekee kama ilivyokuwa Hiroshima mkuu

Tunaiogopa nuclear kwa mfano wa jinsi ilivyopigwa hapo Japan na si vinginevyo

Tunataka tupate upekee wa silaha ya Oreshnik kwa kuangalia madhara iliyosababisha na si vinginevyo na pia tuipe heshima yake

Vinginevyo itakuwa ni silaha kama zingine tu
 
Hoja huna kijana.
Rudisheni asilimia 20 ya ardhi iliyonyakuliwa kama mnaweza.
Kuiba ardhi mnaona ujanja na wewe si ndio unalia humu Israel kaiba ardhi ya Palestine 😂, unafiki hauna tofauti na ugonjwa wa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…