BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Mkuu wa Mkoa angekuwa na Busara kweli, angeweza TU Siku nyingine ya Kufanya Usafi Kabla au Baada ya Tar 24, Kwa Vile CHADEMA waliisha itangaza Siku hiyo kuwa ya Kufanya Maandamano Yao ya AMANI !Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi?
Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa madaraka anawadharirisha wanajeshi wetu kwamba ni puppet wenzake badala ya kujibu hoja za kisiasa?
Mama Samia utaferi mangapi hata hili? Umeme Tanesco wameshakushinda huwawezi, sasa mpaka Chalamira ambaye ulishamuonya Aache kuropoka ni Kwa nini usiongeze nguvu kwenye shule za serikali umpe Ajira ya ualimu aende akafundishe si ndio fani yake?
CDF na cabinet yake sasa ifike wakati walitenge Jeshi na wanasiasa otherwise wataendelea kudharauliwa kila siku kama alivyowadharau Chalamira.
Cc; Pascal Mayalla Nguruvi3 Nyani Ngabu Kiranga Mzee Mwanakijiji
Kulikuwa hakuna haja ya Mwanasiasa mmoja kuwa KICHWAMAJI...[emoji35][emoji35]
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app