WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Matunda ya 2019 na 2020Ilitakiwa mikopo mikubwa na ya muda mrefu ijadiliwe na kuidhinishwa na bunge ila kwa bahati mbaya sana kwenye nchi yetu sivyo hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matunda ya 2019 na 2020Ilitakiwa mikopo mikubwa na ya muda mrefu ijadiliwe na kuidhinishwa na bunge ila kwa bahati mbaya sana kwenye nchi yetu sivyo hivyo.
Dhamana ni rinder lakoTakribani mikopo yote inayotolewa kwa watu binafsi, taasisi au nchi huwa na masharti. Pamoja na kwamba masharti hayo kukubaliwa na pande zote za mkopo husika (Mkopeshaji na Mkopaji), masharti hayo huandaliwa na Mkopeshaji kwa ajili ya kulinda maslahi yake-urejeshwaji wa mkopo pamoja na faida.
Kati ya masharti ya mkopo ambayo yasioepukika ni kuhusiana na dhamana ya mkopo (security/securities). Hapa Mkopaji huweka rehani mali yake fulani kama dhamana au hakikisho la kulipwa kwa mkopo. Pale ambapo Mkopaji anaposhindwa kulipa mkopo huo, Mkopeshwaji hushughulika na dhamana hiyo kwa njia mbalimbali ikiwemo ya kuiuza.
Dhamana za mikopo ni vitu kama ardhi, mishahara, magari, mitambo, hisa na kadhalika. Hizi zimekuwa za kawaida na maarufu kwenye mikopo itolewayo na taasisi za kifedha kwa watu binafsi, taasisi na kadhalika. Kwa ngazi za kinchi (pale ambapo nchi moja inaikopesha nchi nyingine) dhamana ya nchi mkopaji huwa ni nini hasa? Najua masharti mengineyo kama muda wa kulipa huwepo pia.
Mfano, Tanzania inapokopa kutoka mfano Benki ya Dunia au nchi nyingine, dhamana ya mkopo husika huwa ni nini?
Sisi ni masikini wa pesa ila matajiri wa rasilimali, lakini pia mataifa makubwa yanayotukopesha yana malengo zaidi ya maslahi ya uchumi/biashara, wakati mwingine kuna maslahi ya kiusalama na ushindani na wapinzani wao, kwa mfano wengine wanataka sehemu za kuweka vituo vya kijeshi au ujasusi.Mm navyojua hata uweke dhamana pia ukikopa lazima wazingatie kile kifungu cha ability to pay. Sasa hawa wanaotukopesha huwa wanazingatia nini hasa ili hali wanasema sisi ni masikini?
Afrika tunaishi sasa, Mzungu anaishi vizazi 4 mbeleni.Haya ndiyo mambo ya watajiju
Nobody cares at the moment
ExactlyAfrika tunaishi sasa, Mzungu anaishi vizazi 4 mbeleni.
Mkorea anajua crisis zijazo kutokana na global warming na technology, anawakopesha ili yeye hata iweje mtamlipa au mtampa madini kama mbadala!
Wewe ni mwanasheria kitaaluma kama sijakosea.Takribani mikopo yote inayotolewa kwa watu binafsi, taasisi au nchi huwa na masharti. Pamoja na kwamba masharti hayo kukubaliwa na pande zote za mkopo husika (Mkopeshaji na Mkopaji), masharti hayo huandaliwa na Mkopeshaji kwa ajili ya kulinda maslahi yake-urejeshwaji wa mkopo pamoja na faida.
Kati ya masharti ya mkopo ambayo yasioepukika ni kuhusiana na dhamana ya mkopo (security/securities). Hapa Mkopaji huweka rehani mali yake fulani kama dhamana au hakikisho la kulipwa kwa mkopo. Pale ambapo Mkopaji anaposhindwa kulipa mkopo huo, Mkopeshwaji hushughulika na dhamana hiyo kwa njia mbalimbali ikiwemo ya kuiuza.
Dhamana za mikopo ni vitu kama ardhi, mishahara, magari, mitambo, hisa na kadhalika. Hizi zimekuwa za kawaida na maarufu kwenye mikopo itolewayo na taasisi za kifedha kwa watu binafsi, taasisi na kadhalika. Kwa ngazi za kinchi (pale ambapo nchi moja inaikopesha nchi nyingine) dhamana ya nchi mkopaji huwa ni nini hasa? Najua masharti mengineyo kama muda wa kulipa huwepo pia.
Mfano, Tanzania inapokopa kutoka mfano Benki ya Dunia au nchi nyingine, dhamana ya mkopo husika huwa ni nini?
Hata mimi bado namshangaa mwanasheria anaekuja kutuuliza swali kama hili, badala yake nilitarajia atuletee elimu ilioshiba juu ya jambo husika sisi vyeti feki tuelimike Petro E. Mselewa umezingua!Wewe ni mwanasheria nafkiri unapaswa kufanya mapitio na kutupa usahihi au maadirio kuwa huu mkopo tunaweza kuwa tumeweka rehani hiki na hiki. Pia, uko resourceful kupata details ukatusaidia sisi maamuma
Dhamana ni rasmali ya nch uska kwa mfano madn ardh sehem ya uvuv mfano ziwa na bahar na wanch watawajbka kulipa hy dhamana kwa mifumuko za bei ya bzaa nawapo makn awakopesh kiejeny maana wanajua hz nch ipo develop inaznguwa maana kuna mapndz za kjesh wanajua itakula kwao kwaiyo lazm aangalie usalama wa dhamana yaoTakribani mikopo yote inayotolewa kwa watu binafsi, taasisi au nchi huwa na masharti. Pamoja na kwamba masharti hayo kukubaliwa na pande zote za mkopo husika (Mkopeshaji na Mkopaji), masharti hayo huandaliwa na Mkopeshaji kwa ajili ya kulinda maslahi yake-urejeshwaji wa mkopo pamoja na faida.