Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

nyasangaboy

Senior Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
127
Reaction score
58
Heri ya mwaka mpya wapendwa.

Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu, kuna uwezekano wa kuwekewa mita tofauti na ya Tanesco ambayo naweza nikatumia peke angu iwe kwenye frame ya biashara au nyumba ya kupanga?
 
Yess hyo inaitwa separation
Unachukua form ofsin kwao
Ikiwa nyumba ni yako unaenda na kitambulisho na passport...ikiwa nyumba sio yako unaenda na vya mwenyenyumba
Easy like that
Ila lazima uweke mainswitch cct breaker na earthrod yako kisha terry yakupokelea umeme
 
Haiwezekani kufanya bila kupita tanesco??
 
Ila mita lazima afungiwe moya ya tanesco
 
KUNA JAMAA NIOIONA KAWEKA TANGAZO LA SUB METER ZA KISASA AMBAZO UNAWEZA KUJAZA UMEME WAKO CHUMBANI KWAKO PEKE YAKO AU KWENYE FRAME YAKO.
NILIONQ TANGAZO HILO HUMU HUMU KAMA SIKOSEI AU FB.BEI YAKE ALISEMA NI 180K

Hizi submeter sio kama zile za kusoma matumizi ila hizi unajaza kabisa umeme wako mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…