TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
nimetumia neno "paste" nikimaanisha vitu vinavyowasiliana .Kwa watu wa Programming au computer wanaelewa mtu anaposema una paste code kutoka device moja kwa nyingine maana yake there is mutual communication between two devices.Kwani sub meter haitegemei mita kuu ya TANESCO? Kwamba mita kuu ikiishiwa na yenyewe inazima?
Baada ya pasting wakati wa kuweka token inamaana Mita kuu inaambiwa kwamba iache amount ya umeme ya submeter fulani let say submeter X incase umeme wa watumiaji wengine ukiisha utakaobaki kwa mita kuu na ukasomwa ni wa submeter X