Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

Mita inayofanana na hiyo unayoongelea niliiona uwanja wa nanenane Mbeya mwaka 2017. Nilivutiwa sana aisee. Yaani yenyewe unaifix kwenye nyumba ya wakazi wengi. Kila mtu ananunua umeme wake mwenyewe ingawa mita ya TANESCO ni moja...
Nazihitaji kwa sasa, ngoja tuwasubiri wadau wenye uzoefu nazo
 
Hiyo submeter inakuwa imesajiliwa TANESCO?
Nimegundua watu hawana uelewa kabisa humu kama wewe.
Jamaa yuko sahihi sema wewe ndiyo hujamulewa, kwa mfano unanunua umeme wa elf20 umeme huo wewe utatambuliwa na mita ya Tanesco lakini kupitia ile submeter utaufanya umeme huo wa elf20 utumie wewe pekee yako na mpangaji mwingine naye atanunua labda umeme wa elf5 meter ya tanesco itahesabu jumla umeme wa elf25 lakini submeter zenu zitawagawia umeme, inaamaana huyo wa elf5 akimaliza umeme wake chumba chake kitazima hata kama bado kwenye meter kuu kuna units.
 
hiyo hapo (mfano)
FB_IMG_16176861686754082.jpg
 
Nina kakibanda kangu wapangaji walikuwa wanaleta kelele sana kwenye umeme..nikanunua hizo SUBMETER za kusoma UNIT nikazifunga lkn bado kelelè zilikuwa bado zipo kwan kuna baadhi ya wapangaji wagumu kutoa hela ya umeme ukiisha...

Nikaamua kununua UMEME mm mwenyewe nikaujaza kwenye mita....nikawaambia wapangaji watakuwa wanalipa mwisho wa mwezi umeme walioutumia,usipolipa,NAKATA...kelele zote zikaisha..!!
 
nunua hiyo meter tunayozungumzia hakuan atakaye mpigia mwenzie kelele meter ndiyo itaamua nani anastahili kuendelea kuwa umemeni na nani awe gizani
 
Nina kakibanda kangu wapangaji walikuwa wanaleta kelele sana kwenye umeme..nikanunua hizo SUBMETER za kusoma UNIT nikazifunga lkn bado kelelè zilikuwa bado zipo kwan kuna baadhi ya wapangaji wagumu kutoa hela ya umeme ukiisha...

Nikaamua kununua UMEME mm mwenyewe nikaujaza kwenye mita....nikawaambia wapangaji watakuwa wanalipa mwisho wa mwezi umeme walioutumia,usipolipa,NAKATA...kelele zote zikaisha..!!
Kwikwikwi....

Wakizingua UNAKATAA

ova
 
Mnajidanganya sana. Sub meter lazima ipate umeme baada ya Meter ya TANESCO. Sasa meter ya TANESCO ikimaliza umeme (meter ya LUKU) hiyo submeter itapata wapi umeme.
Hizi mita wazozisemelea hawa ni zile mita kubwa za kwenye majengo ambazo wale bili zao zinasoma mwezi hadi mwezi kiufupi wenye umeme mkubwa ambao wana transformer zao,ila kwa izimeter ndogo za luku inakuwa ngumu
 
Demu wangu mmoja alikua anaishi Sinza nyumba ya kupanga walikua wamewekewa hizo mita

Yaani unanunua umeme wako kwa kutumia mita kuu halafu unampa mwenye nyumba anauingiza kwenye mita kuu halafu anaruhusu units zako zinakuja kwenye submita yako na units zako zikiisha umeme unakata kwenye vyumba vyako tu wenzio wanadunda
 
Hii nimemfungia mwenyewe jana mpangaji wangu jana ,kazi yake ni kuhesabu unit ila nimekonekt kwny switch ambayo naweza kuzima umeme chumbani kwake nikiwa chumbani kwangu km unit zake zitaisha.Kulia ni switch ipo chumbani kwngu nyumba ya pili inazima vyumba vya wapangaji kimoja kimoja.

Hizi ni separating mita za elfu 25 ,switch elfu 40k.

Zipo automatic ndio 180k

Duh! Utadhani pipa la pombe ya kimpumu!
 
Back
Top Bottom