IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Hiyo kuiita sub meter siyo sawa maana kazi yake ni kusoma tuu units za umeme ulizotumia ili mpangaji akiambiwa achangie elfu kumi kwa mwezi asilete ubishi.Haina haja ya kwenda tanesco kusajiri ili wakuungie mita,unanunua tu dukani unaita kishoka anakufungia na wala sio illegal.[emoji848][emoji848]
Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app