Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

Alikuwa ni member aitwae Buyoya419 na heading ya mada yake ilisomeka "Pata separation Meter uepuke ugomvi wa umeme".
 
Ahaaa kumbe ni wadau na siyo Tanesco. Ningeshangaa sana maana Tanesco hawawezi kuwa na hii akili kubwa kwani wana enjoy monopoly iliyopo kwenye umeme hivyo they don't bother.
 
Heri ya mwaka mpya wapendwa.

Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu, kuna uwezekano wa kuwekewa mita tofauti na ya Tanesco ambayo naweza nikatumia peke angu iwe kwenye frame ya biashara au nyumba ya kupanga?
Inawezekana mkuu kikubwa wasiliana nao hao TANESCO
 
Yaani ni safi sana. Wao walisema watawasiliana na TANESCO ili kuangalia uwezekano wa kujumuisha teknolojia hiyo kwenye mfumo wa umeme ila ndio nasubiri hadi leo sijui waliishia wapi.
TANESCO Je aina hii ya meter zipo kwa sasa? kwenye shirika lenu.
 
Zinapatikana wapi hizo ambazo zinajizima automatically...brand gani...bei zake zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…