Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kongamano la wanataaluma linakutana kutwa nzima ya ijumaa. Je matarajio yako ni nini hasa? Litakuwa kama makongamano mengine yaliyosifiwa kwa kutoa kauli kali na maazimio yenye vipengele hadi vya herufi za kichina? Tutarajie nini tofauti na kwa nini au ndio yaleyale?
Kongamano la wanataaluma gani?
Watanzania walio Diaspora Tanzania au Mkutano wa mazingira Copenhagen?
Au wataaluma wa tunguli Bagamoyo?

Baadhi ya Mada zitakazojadiliwa, kuwekewa mikakati ya kiutendaji na ufuatiliaji ni pamoja na:
1. Namna gani Wataalamu Wanavyoweza Kusaidia Kuweka Vipaumbele vya Kitaifa katika Kujenga Uchumi Imara
2. Ni Vipi Wanataaluma Wanaweza Kusaidia Watanzania wa Kawaida Waweze Kushiriki Katika Ujenzi wa Uchumi wa Taifa na Kuboresha Maisha Yao
3. Jinsi Wanataaluma Wanavyoweza Kukabiliana na Changamoto katika Kuleta Maendeleo ya Kiuchumi, Kisiasa, Kielimu, Kijamii, nk.
4. Namna Gani Wanataaluma Waliopo Nje ya Nchi Wanaweza Kushiriki Kuleta Maendeleo Nchini
5. Wanataaluma na Dira ya Maendeleo ya Taifa Letu: Tukotoka; Tulipo, Tunakokwenda: Changamoto na Ufumbuzi
6. Je, Ni Wakati Gani Mwafaka Wanataaluma Walazimike Kuchukuka Hatua za Kuleta Mabadiliko Na kwa Vipi?
7. Ni Mikakati Gani Watumie Wanataaluma Kupeana Habari na Taarifa Za Uhakika na kwa Muda Muafaka?
Hawana jipya ni wachovu.utakuja kuniambia.Kongamano la wanataaluma linakutana kutwa nzima ya ijumaa. Je matarajio yako ni nini hasa? Litakuwa kama makongamano mengine yaliyosifiwa kwa kutoa kauli kali na maazimio yenye vipengele hadi vya herufi za kichina? Tutarajie nini tofauti na kwa nini au ndio yaleyale?
Umesahau, na ulaji (au Posho) kwa waandaaji pia, yaani kamati ya maandalizi ikiongozwa na mwenyekiti wao(keep change!) Haha hahaa...blah bla blaaa kwa sana!Hii ni social gathering na ubishoo tu/kutafuta headline kwenye press.
Kongamano la wanataaluma gani?
Watanzania walio Diaspora Tanzania au Mkutano wa mazingira Copenhagen?
Au wataaluma wa tunguli Bagamoyo?
Yaani! Hata kabla ya kuona matokeo yake yakoje tumetangaza wameshindwa. Duuh! Mi naomba jamaa wachukue hii ni kama challenge na kuthibitisha they mean what they say by action.Mtoto kabla ya kuanza kutembea, huwa anatambaa.Siamini kama huu nao ni mkutano kama mikutano mingine unless waandaji wameamua kufanya hivyo.Bado wana chance ya kufanya kitu tofauti.Mh, hii ngumu kweli kwetu watanzania, ni nani tanzania anaweza kuandaa kitu kikapokewa na positive mazee?
Yaani inavunja moyo kweli
Binafsi sitarajii kipya kutoka kwenye hilo Kongamano. Tatizo la Tanzania ni la kisiasa zaidi na siyo la kiuchumi. .
Mimi nina matumaini sana na hawa jamaa. Lakini, tutapima ni maazimio na utekelezaji wake. Wasije wakajikuta wanaitwa majina na kina Makamba!