luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
sijawai ona hotel ya hadhi ya juu barabara zote za mkoa ambapo magari husimama kwa ajili ya vyakula ni upigaji tu wa madereva ili wapewe msosi wa bureHili jambo nadhani ni very challenging kuliko tunavyoliona.
Kuna mdahalo ITV waliitisha kati ya TABOA, Madereva, Abiria, na chama cha watetezi wa abiria kuhusu gharama za vyakula njiani.
Changamoto zilikuwa kama ifuatavyo,
* Abiria wenyewe hawakuwa wanaafikiana,abiria wengine walikuwa wanataka hoteli za hadhi na wako tayari kulipia, na abiria wengine walikuwa wanapendekeza gari lisimame kwenye hoteli za hadhi ya chini. Swali likawa ni Je, basi lisimame mara mbili kukidhi matakwa ya abiria wote? Abiria nwengine hawakuridhia kwa kuona ni upotezaji wa muda.
kuna watu wana stomach ulcersShida ya wabongo tunapenda sana kula safarini, safari fupi tu ya Dar -Moshi/Dodoma/Iringa mtu anataka ale nyama choma kuku/mbuzi.! Wakati unaweza kukausha tu ukafika kwako ukapika ugali maharage ukashiba bila gharama
Kabisa.Shida ya wabongo tunapenda sana kula safarini, safari fupi tu ya Dar -Moshi/Dodoma/Iringa mtu anataka ale nyama choma kuku/mbuzi.! Wakati unaweza kukausha tu ukafika kwako ukapika ugali maharage ukashiba bila gharama
Tatizo siyo bei bali ni ubora wa huduma na vyakula vyenyewe ni za kishenzi sanaHili janga ni kama limerejea tena kwa speed ya kasi mnooo fikiria unapokuwa safarini sahani ya wali maharage unanunu kwa 4000, wali nyama. 5000, kuku robo ni 10,000, Chaji ya rangi 1000.
Kuwa msafiri sio kuwa kosa la kulanguliwa vitu bei juu au ndio kusema na wao wameathiriwa na vita vya Ukraine?
Ni ngumu sana kumridhisha kila mtu kwenye hili jamboHili jambo nadhani ni very challenging kuliko tunavyoliona.
Kuna mdahalo ITV waliitisha kati ya TABOA, Madereva, Abiria, na chama cha watetezi wa abiria kuhusu gharama za vyakula njiani.
Changamoto zilikuwa kama ifuatavyo,
* Abiria wenyewe hawakuwa wanaafikiana,abiria wengine walikuwa wanataka hoteli za hadhi na wako tayari kulipia, na abiria wengine walikuwa wanapendekeza gari lisimame kwenye hoteli za hadhi ya chini. Swali likawa ni Je, basi lisimame mara mbili kukidhi matakwa ya abiria wote? Abiria nwengine hawakuridhia kwa kuona ni upotezaji wa muda.
*Madereva wao wakasema wanatafuta hoteli ambayo kimsingi ipo katikati ya safari, ambapo kiuhalisia ni interior sana na hoteli ni chache. Wakaja na hoja kwamba, huwezi kumtoa abiria katika route ya Dar- Babati alafu ukamshusha akale kibaha mjini kwenye mahoteli mengi kwa sababu ya bei.
*Madereva wakaja na hoja nyingine yenye mgogoro kuhusu CHOO. Wakasema serikali inataka abiria wakashushwe sehemu sahihi za kujisaidia, na mara nyingi hizo sehemu unakuta ni za kulipia na abiria hawataki kabisa gharama, kwa hiyo wanachofanya ni kutumia tu busara kutokana na mazingira ili wananchi wajisaidie majoring bila kuwatesa.