tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 Sep 25, 2022 #101 Halafu serikali ipo kimya. Bei ya vyakula ktk maeneo ya kula ni ghali sana na kachakula kenyewe kadogo
Halafu serikali ipo kimya. Bei ya vyakula ktk maeneo ya kula ni ghali sana na kachakula kenyewe kadogo
O oladipo JF-Expert Member Joined Mar 8, 2022 Posts 1,885 Reaction score 3,305 Sep 25, 2022 #102 900 Inapendeza zaidi said: Watu waache ubuge safarini wawe na nidhamu Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38] hilo neno ubuge huwa analitumia sana bi mkubwa wangu sijawahi kuliskia kwa mtu mwingine yoyote. Actually we mtu wa pili kuskia unalitumia hili neno. Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
900 Inapendeza zaidi said: Watu waache ubuge safarini wawe na nidhamu Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38] hilo neno ubuge huwa analitumia sana bi mkubwa wangu sijawahi kuliskia kwa mtu mwingine yoyote. Actually we mtu wa pili kuskia unalitumia hili neno. Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app