NASIRIYA
Member
- Dec 11, 2022
- 12
- 24
Hivi mlitaka Serikali ya Zanzibar ifanye nini kwenye hili? Mnatakiwa kutambua kuwa Mv. Maendeleo imeanza kufanya kazi tangu mwaka 1980 ikiwa na uwezo wa kubeba abiria 600 na mizigo takribani tan 1001 kwa siku.
MV. Maendeleo imefanya kazi kwa muda wa miaka 40 imeipatia faida ya trilion 1.44 Serikali ya Zanzibar. Hivyo, ukarabati wa bil 3.6 na uuzwaji wa Mil 536.8 siyo hasara kwa serikali kwa sababu serikali ilishapata faida ya kutosha.
Tunapaswa kushukuru imeuzika mapema, maana kwa sasa ilikuwa imechakaa ingeanza kuipa Serikali mzigo wa kuifanyia matengenezo ya mara kwa mara na kuisababishia hasara.