tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Dah! Jinsi usivyojua hesabu za faida na hasara hata hiyo faida yako ya miaka 40 itakuwa umeikosea bila kujua.
MV. Maendeleo imefanya kazi kwa muda wa miaka 40 imeipatia faida ya trilion 1.44 Serikali ya Zanzibar. Hivyo, ukarabati wa bil 3.6 na uuzwaji wa Mil 536.8 siyo hasara kwa serikali kwa sababu serikali ilishapata faida ya kutosha.
Tunapaswa kushukuru imeuzika mapema, maana kwa sasa ilikuwa imechakaa ingeanza kuipa Serikali mzigo wa kuifanyia matengenezo ya mara kwa mara na kuisababishia hasara.
View attachment 2446869