tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
MV. Maendeleo imefanya kazi kwa muda wa miaka 40 imeipatia faida ya trilion 1.44 Serikali ya Zanzibar. Hivyo, ukarabati wa bil 3.6 na uuzwaji wa Mil 536.8 siyo hasara kwa serikali kwa sababu serikali ilishapata faida ya kutosha.
Tunapaswa kushukuru imeuzika mapema, maana kwa sasa ilikuwa imechakaa ingeanza kuipa Serikali mzigo wa kuifanyia matengenezo ya mara kwa mara na kuisababishia hasara.
View attachment 2446869
Haiwezekani meli ya serikali kutengeneza faida. Ni miaka mingi Shirika la Meli halina meli zifanyazo kazi ilhali gharama za kiofisi zipo kama kawaida.Dah! Jinsi usivyojua hesabu za faida na hasara hata hiyo faida yako ya miaka 40 itakuwa umeikosea bila kujua.
Sasa Magufuli anahusiana vipi na SMZ?Kila siku tunapigwa, ukarabati Bilioni 2 Mauzo million 500, namkumbuka Magufuli
SpinningTtz hamjafahamu sio ukarabati Kwa ajili ya uuzaji ni ukarabati wote toka meli imeanza kutumika . unafikiria mtu gani au serikali gani ambayo inaweza kutumia fedha nyingi kukarabati Hali iuuze Kwa fedha za chini huyo atakuwa juha
Hata wangelipa Mil 500 kwa mkusanyaji wa Scrap basi ingekuwa imeokolewa 3BilionsMaana yake hata wangeitoa bure kungekuwa na faida.
ingepatikana hata tsh 100 ingeuwa faida kulipo kwenda kuteketeza 3.6 biion kupata milion 500Kwa vyuma chakavu zingepatikana shs ngapi?