little master JF-Expert Member Joined Jul 16, 2018 Posts 1,870 Reaction score 3,589 Nov 27, 2024 #101 Kuna watu makazini kuna siku za michezo utaenda na suti? Zingatia na ofisi, kwasababu kuna za watu kwanza kupigwa nua kugusa.
Kuna watu makazini kuna siku za michezo utaenda na suti? Zingatia na ofisi, kwasababu kuna za watu kwanza kupigwa nua kugusa.
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Nov 27, 2024 #102 Jane Lowassa said: Huu mtindo unapata kasi sana. Upigwe marufuku kwasababu ni aibu kwa taifa. Ofisini ni sehemu ya heshima Click to expand... Kufungwa mechi tatu mfululizo mshaanza kuleta nongwa!
Jane Lowassa said: Huu mtindo unapata kasi sana. Upigwe marufuku kwasababu ni aibu kwa taifa. Ofisini ni sehemu ya heshima Click to expand... Kufungwa mechi tatu mfululizo mshaanza kuleta nongwa!