Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa na wale wanaotoa Ipad sijui nn kanisani na kutukia Biblia zilizokuwa Installed...Huu ni utovu wa nidhamu na sii uungwana....
Duh haya bhana!
Na hata unapokuwa unafanya "presentation" ofisini kwako au mahali popote ambapo ni "official" mbele za watu, toa simu yako/zako uangalie muda!
Mkuu saa inavaliwa kwa malengo mawili, kuonyesha majira, vilevile kupendeza, kama ilivyo nguo, kusitiri mwili na kupendeza vilevile.
Mimi ni addict wa kuvaa saa, nikiisahau nitaomba ruhusa kazini niirudie.
utakuja kukosa hata kazi hvhv kwenye makampuni ya watu kwa kwa kujifanya unaenda na digitali.kwahiyo unataka kusema wanaume wote wanaovaa saa ni mademu au wazee wa analogue?
simu ni kila kitu. stopwoch. rimainda. aram cloku nk tena hata kama umeizima inaweza kukuamsha. mnao sema pambo nawaunga mkono. mimi naona mzigo tu
View attachment 189231
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania wote wanamiliki simu na kwenye simu kuna saa.
Utamkuta mwanamume sharobaro anamiliki simu 3 kwa mpigo na wakati huo huo katupia bonge ya saa kiganjani mwake. Kuvaa saa kwa wanawake inaleta maana kidogo kwa kuwa inachukua nafsi ya bangili ni pambo la kike.
Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa saa na sitegemei kuivaa tena labda nikiwa kwenye chumba cha mtihani nitaibeba na kwenda nayo na baada ya kumaliza kupiga paper nitampa demu wangu avae kama bangili. Uvaaji wa saa enzi hizi unawafaa zaidi wanafunzi wa shule za msingi kwa kuwa wengi wao hawamiliki simu. Tujifunze kuishi kulingana na wakati.
:israel: