Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Ni sawa na wale wanaotoa Ipad sijui nn kanisani na kutukia Biblia zilizokuwa Installed...Huu ni utovu wa nidhamu na sii uungwana....
hayo ndo mabadiliko ya teknolojia Tedo si utovu Wa nidhamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa na wale wanaotoa Ipad sijui nn kanisani na kutukia Biblia zilizokuwa Installed...Huu ni utovu wa nidhamu na sii uungwana....
mkuu, kwa ke kuvaa saa ni jambo la kawaida kabisa kwa kuwa ke akivaa saa ni kama amevaa bangili-urembo. si unajua siku hz pambo la bangili ni nadra sana kupatikana? tatizo ni kwa wale me wanaovaa bangili hii all day long.
View attachment 189231
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania wote wanamiliki simu na kwenye simu kuna saa.
Utamkuta mwanamume sharobaro anamiliki simu 3 kwa mpigo na wakati huo huo katupia bonge ya saa kiganjani mwake. Kuvaa saa kwa wanawake inaleta maana kidogo kwa kuwa inachukua nafsi ya bangili ni pambo la kike.
Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa saa na sitegemei kuivaa tena labda nikiwa kwenye chumba cha mtihani nitaibeba na kwenda nayo na baada ya kumaliza kupiga paper nitampa demu wangu avae kama bangili. Uvaaji wa saa enzi hizi unawafaa zaidi wanafunzi wa shule za msingi kwa kuwa wengi wao hawamiliki simu. Tujifunze kuishi kulingana na wakati.
:israel:

Wahenga walinena: Bora unyamaze ili watu wadhani wewe ni mjinga kuliko uongee ili uwathitishie watu kuwa kweli wewe ni mjinga!" kisha wakaongeza" Mwenye busara huongea inapobidi lakini mjinga huongea ilimradi!"View attachment 189231
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania wote wanamiliki simu na kwenye simu kuna saa.
Utamkuta mwanamume sharobaro anamiliki simu 3 kwa mpigo na wakati huo huo katupia bonge ya saa kiganjani mwake. Kuvaa saa kwa wanawake inaleta maana kidogo kwa kuwa inachukua nafsi ya bangili ni pambo la kike.
Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa saa na sitegemei kuivaa tena labda nikiwa kwenye chumba cha mtihani nitaibeba na kwenda nayo na baada ya kumaliza kupiga paper nitampa demu wangu avae kama bangili. Uvaaji wa saa enzi hizi unawafaa zaidi wanafunzi wa shule za msingi kwa kuwa wengi wao hawamiliki simu. Tujifunze kuishi kulingana na wakati.
:israel:
Nisipovaa saa naona ni kama sijavaa chupi au fulana (vest),hata kama nilisahau kuvaa narudi home siendelei na safari.Saa ni sehemu ya mavazi yangu.Mkuu saa inavaliwa kwa malengo mawili, kuonyesha majira, vilevile kupendeza, kama ilivyo nguo, kusitiri mwili na kupendeza vilevile.
Mimi ni addict wa kuvaa saa, nikiisahau nitaomba ruhusa kazini niirudie.
kesho watasema kubeba kamera wakati una simu yenye kamera ni ushamba!
We ni mshamba... na mtazamo wako wa kishamba, trust me or not saa inakamilisha ugentlemen... inaongeza youe value kila ukivaa... siwez acha vaa saa maisha tena za ukweli rolex, edfiece, seiko, tsot
Wee ni kama mimi mkuu.Nisipovaa saa naona ni kama sijavaa chupi au fulana (vest),hata kama nilisahau kuvaa narudi home siendelei na safari.Saa ni sehemu ya mavazi yangu.
Mkuu una maana na wenye simu zenye radio wasinunue radio majumbani mwao?View attachment 189231
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania wote wanamiliki simu na kwenye simu kuna saa.
Utamkuta mwanamume sharobaro anamiliki simu 3 kwa mpigo na wakati huo huo katupia bonge ya saa kiganjani mwake. Kuvaa saa kwa wanawake inaleta maana kidogo kwa kuwa inachukua nafsi ya bangili ni pambo la kike.
Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa saa na sitegemei kuivaa tena labda nikiwa kwenye chumba cha mtihani nitaibeba na kwenda nayo na baada ya kumaliza kupiga paper nitampa demu wangu avae kama bangili. Uvaaji wa saa enzi hizi unawafaa zaidi wanafunzi wa shule za msingi kwa kuwa wengi wao hawamiliki simu. Tujifunze kuishi kulingana na wakati.
:israel:
Sikumbuki mara ya mwisho kuvaa saa na sitegemei kuivaa tena labda nikiwa kwenye chumba cha mtihani nitaibeba na kwenda nayo na baada ya kumaliza kupiga paper nitampa demu wangu avae kama bangili.