Kuvaa suruali zilizochanika chanika (masempele) ni kufilisika kifikra na kimtazamo

Moja ya vitu vinavonishangaza na kunisikitisha kabisa ni kuvaa nguo zilizo chanika. Kwangu mimi hiyo ni ishara ya ukosefu wa nidhamu, na kutokuelimika (sio kusoma) na kwakiwango kikubwa ni aina flani pia ya uhuni.
 
Maisha ni mapito....huyo Mzee Wa leo anayeona kuvaa jeans ya kuchanika ni UHUNI....kasahau yeye mwenyewe wakati wake alivaa nguo aina hizo au zaidi ya hizo....kumbukeni kila jambo na wakati wake....muda wako ukipita usiwalaumu wengine wafanyacho kwa wakati wao...
 
Moja ya vitu vinavonishangaza na kunisikitisha kabisa ni kuvaa nguo zilizo chanika. Kwangu mimi hiyo ni ishara ya ukosefu wa nidhamu, na kutokuelimika (sio kusoma) na kwakiwango kikubwa ni aina flani pia ya uhuni.
Chenge anavaa suti na anapiga mabilioni, je hiyo ni nidhamu?!
 
walivaa pekos wakuda hao
 
Ivi jamani wapi nitapata duka linalouza zile tshirt zenye mabaka ya kijeshi kwa dar, nazipenda sana
 
Jali ya kwako hii nchi huru
 
Jali yako. Hii nchi huru
 
calisah kaja na skuna.....xaxa malimbukeni pedi na bikini ztakua ni fashion
 
wapenzi wetu wanapenda twende na fashoon ndo mana vijana tunavaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…