Kuvaa suruali zilizochanika chanika (masempele) ni kufilisika kifikra na kimtazamo

Kuvaa suruali zilizochanika chanika (masempele) ni kufilisika kifikra na kimtazamo

Kuna watu dhofri khari masikini hasa huko vijijini wanavaa nguo zilizochanika au nao ni fashion.
 
download.jpg


Huu uvaaji wa masempele kwa dada zetu ni kinyaa kwa kweli kuiga ni sawa lakini sio sawa kuiga kila kitu wenyewe utakuta wanaita ripped jeans ni ujinga mtupu
 
wamekusikia mkulu...
kuvaa vazi la kichaa ukiwa na akili timamu yawezekana akili timamu zimepitiliza.
 
Hiki kizazi cha dot com, Wanaita digitali....
 
Siku hizi hata nikinunua ambayo haijachanwa chanwa kuna best angu anajua kuzichana design fulani hivi inakuwa amazing n sexy...ni nzuri tena ikichanika maeneo ya apa gotini ama katika paja

Ila uyo katika picha kazidi buana
 
Lakushangaza eti sikuhizi hayo manguo yalio chanika ndio yana bei kubwa kuliko zile ambazo hazija chanika
 
Huko tunakoenda wataacha kuoga, wataacha kupiga miswaki (kuosha midomo), wataacha kutawaza (kuchamba). Ili mradi waonekane vichaa tu...ikibidi kujipulizia pafyumu yenye harufu ya jasho au kinyesi.na ili kuwapata ni rahisi sana. Mlipe Zari au Dayamond pesa kadhaa then mmuagize wasioge au kutawaza kwa mwezi mzima. Mazombi yao yamo huku, yataiga mpaka huruma. Taifa ndiyo linateketea hivyo
 
Fashion ni kitu cha kijinga sana.. sema hua haichukui raundi itapita tuu..
 
Siku hizi hata nikinunua ambayo haijachanwa chanwa kuna best angu anajua kuzichana design fulani hivi inakuwa amazing n sexy...ni nzuri tena ikichanika maeneo ya apa gotini ama katika paja

Ila uyo katika picha kazidi buana
mfano kwa picha tafadhali
 

Attachments

  • wholesale-hot-sexy-women-denim-jeans-girls.jpg
    wholesale-hot-sexy-women-denim-jeans-girls.jpg
    17.8 KB · Views: 54
  • hol-20170628-cat-jeanfit-f-A-super-skinny-ultra-high.jpg
    hol-20170628-cat-jeanfit-f-A-super-skinny-ultra-high.jpg
    32.4 KB · Views: 59
Mbona hawajachana hapo miguu inapokutana kama kweli wanajua kwenda na wakati.
 
Back
Top Bottom