Kuvimbisha nyonyo na kuyanyanyua ni urembo au mitego?

Kuvimbisha nyonyo na kuyanyanyua ni urembo au mitego?

mgt software

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
13,778
Reaction score
7,145
Wakina mama na wakina Dada wameanzisha mipango mipya ya kuvimbisha maziwa , wengine wakiyapiga sindano yawe magumu, imefikia hata wenye haki yaani watoto wao unyimwa na kupewa chupa huku wakiwalaghai wame eti maziwa hayatoki.

Tabia hii imeshika kasi mpaka wanawapa tabu mafundi nguo , wakishona bila kuweka mbeleko ya kuyabeba.

Wasichana wamefikia.hatua ya kujikaba kifua huku wakieemea juu juu kisa yatune. wengine masikini yashakuwa sokis lakini ngozi hiyo itakabwa wee mpaka itune.

Je kuyakaba na kuyatunisha ni ulembo au mitego

Nawakilisha
 
itakua ni ULEMBO huo, mambo ya MITEGO ni porini huko kwenye tembo na swala.

kwani ukitega panya unakuwa polini? au ukisikia Fulani kawekewa mtego na polisi anakuwa polini. au neno Tega linakupa tabu
 
ImageUploadedByJamiiForums1403602239.318901.jpg


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Haya maziwa yapo toka zamani ila brazia ndio zimekujaa na style ya wazi na kubust.
 
Jamani heaven on hearth uko wapi nangojea coment zako kuh.hili jambo upo upande gani?
 
ahaaaaaa ben ni ulemboo si unajua wadada kwa maua?
mimi binafsi nmkamatapo kwenye nyonyo aiseee siachiii mpaka ajojoe hapo ndo nianze kuchoma kwinini. huku nikimshikilia nyonyo bila kuachia mpaka ajampe.
 
Back
Top Bottom