Mshawa
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 783
- 321
lafiki yangu huo ni ulembo tu unafikili wanaume tunapenda kilahisi lahisi thubutuuu
Kiswahili gani hikii!!? Sijakuelewa mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lafiki yangu huo ni ulembo tu unafikili wanaume tunapenda kilahisi lahisi thubutuuu
12 noon!
kupiga jeki huko
ushaur wa bure kwa wanaogopa kunyonyesha kwa madai ya kuogopa kuharibu maziwa kuna kansa jaman!for all women! Unavyonyonyesha mara kwa mara unapunguza uwezekano wa kupata kanza ya mazima! Take in considaration for your benefit.
sanaaaa lakin siwez weka hizo kogo kwa maziwa yangu
itakua ni ULEMBO huo, mambo ya MITEGO ni porini huko kwenye tembo na swala.
Walimu mtakoma
Huyu hajabust....anamaziwa tuu makubwa lazima ukivaa braa yagusane...Sema tuu kosa ni kuacha vifungo bila kufunga...Ila akifunga hapo lipo la kawaida.....Wenyekubust ni wale wenyekuvaa bra ndogo inayobanaaa maziwa wakati hawana maziwa makubwa...Au ziwa limekuwa soksi then analibana lijae jae..
Tatizo wanaume wengi hawajui kutofautisha aliyebust na ambaye hajabust...
itakua ni ULEMBO huo, mambo ya MITEGO ni porini huko kwenye tembo na swala.
Bra ndio imeyabust yakakaa hivyo bila hiyo bra yangekuwa yamelala, ila kinachoongelewa kwenye hii thread ni kwanini wadada wanapenda kuyaacha maziwa yao wazi?
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
hahahaha hizi staili siku hizi jamani ni shiiiidaaaaaaa...........na wanavaa hivyo kwa ajilii yenu WANAUME kuwatega......hahahahaaa si ndio MNAVYOPENDA? au?
Wanaacha wazi ili kuwarahisishia kujua kwa wepesi lipo limeshawiva kunyonywa na lipi bado.