Kuvimbisha nyonyo na kuyanyanyua ni urembo au mitego?


itakuwa urembo tu, Mitego anajua Ney wa manzese!
 
itakuwa urembo tu, Mitego anajua Ney wa manzese!

Jana nilikuwa manzese karibu na password , kuna wadada watatu walikuwa wahudumu Rombo view wamefungua kipub manzese, wamebust nyonyo yaani si dodo tena ni papa I kabisa. Ukiudumiwa ukanunua bia kama utasikikia nikumiminie , ukisema poa atakubana hayo kwa mbwembe na baby za kumwaga
 

= Urembo
 
Hah ha ha
 

weka picha mkuu ili nikupate vyema na niweze kuchangia kwa uhakika.
 
weka picha mkuu ili nikupate vyema na niweze kuchangia kwa uhakika.

Mwenye computer atuwekee simu zetu za android hazikubali. Mchunguzi huru atakuwa napicha
 
ushaur wa bure kwa wanaogopa kunyonyesha kwa madai ya kuogopa kuharibu maziwa kuna kansa jaman!for all women! Unavyonyonyesha mara kwa mara unapunguza uwezekano wa kupata kanza ya mazima! Take in considaration for your benefit.
 
Last edited by a moderator:
lafiki yangu huo ni ulembo tu unafikili wanaume tunapenda kilahisi lahisi thubutuuu
 
Unamfanya BiG G unamtafuna utamu ukiisha unaitema
 
Wengine hayo ma nyonyo hawana lakini wanalazimisha mpaka inachefua roho..........
 

wenyewe wanaita eti KUPIGA JEKI! hii ni mitego ya waziwazi!!!
 
……waje wenyewe waseme…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…