njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Alafu we mbibi umewaza kama mimiKuvujishwa kwa zile habari ni "game" tu ya Wamarekani na mazayuni.
Wanavuta siku ya uchaguzi wao upite.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu we mbibi umewaza kama mimiKuvujishwa kwa zile habari ni "game" tu ya Wamarekani na mazayuni.
Wanavuta siku ya uchaguzi wao upite.
View attachment 3132899
Arianna Katatabai, mwanazuoni wa siasa na mtaalamu wa Iran, ameibua utata kuhusu tuhuma za kuwa "double agent" kwa sababu ya madai ya kushirikiana na kundi la ushawishi wa Iran. Madai hayo yalizushwa na vyombo vya habari vya mrengo wa kulia nchini Marekani, yakidai kwamba Katatabai amekuwa akitoa taarifa za siri kwa serikali ya Iran wakati akifanya kazi katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani. Hata hivyo, hakuna ushahidi wa wazi uliotolewa kuthibitisha kuwa yeye ni "double agent."
Katatabai amekana tuhuma hizi na mashirika yanayohusika na usalama wa taifa la Marekani, kama vile FBI, wamesema hawana ushahidi wa kumuunga mkono.
Ariane Tabatabai, an academic turned State Department and Pentagon official. She was part of the now-infamous Iran Experts Initiative — a program used by Tehran’s Ministry of Foreign Affairs to cultivate relationships with foreign academics who could carry water for the regime.
At one point, according to reporting from Semafor, which revealed the program’s existence, Tabatabai opted to skip a conference in Israel after an Iranian official instructed her not to go. She also consulted with this same Iranian official regarding how she should testify in hearings before Congress. Her job today — chief of staff to the Pentagon official who oversees special operations.

Career ndio imeishia hivyo. Myahudi ana mambo mengi sana
Kamuulize huyu Mateka alisemaje kuhusu Israel... alisema khofu ilianza mapema na alipodedishwa Nasrallah Makamanda wengi walikimbia post zao hata yye alibakia mwenyewe handakini
View: https://youtu.be/1iGAps3cijo
View attachment 3132990
Several days before being discovered, he said, an airstrike in the vicinity had cut his contact with a nearby cell of four operatives. Then, the three men he had been stationed with fled, leaving him alone.
“The village was emptied,” he said. He added that the regional commander and his deputy both abandoned their posts before the fighters did, speculating that they did so because “they had conflicts among themselves.”
A member of Hezbollah’s elite Radwan forces is seen in an interrogation video published October 15, 2024. (Israel Defense Forces)
Pressed on the matter by the interrogator, the Radwan fighter posited that those who fled had “little faith,” having chosen to join Hezbollah for the money rather than ideology.
“Of course, they were scared of Israel,” he acknowledged.
The interrogator then turned his attention to a different topic.
“What was the Radwan Force’s goal over the last period?” he asked.
Pausing momentarily before answering, the operative responded that the first objective was to respond to any strikes that came their way. The second long-term goal was “to perhaps push forward to the Galilee.”
“To enter Israel?” the interrogator asked, receiving an answer in the affirmative.
“That was the plan if there was fighting.”
Hezbollah operatives that the IDF said it arrested in south Lebanon on October 15, 2024. (IDF)
The IDF said on Tuesday that it had nabbed three members of Hezbollah’s elite Radwan forces after discovering them in a shaft underneath a building in southern Lebanon, amid the ground offensive against the Lebanese terror group.
In a statement, the Israel Defense Forces said that troops from the Golani Brigade’s 13th Battalion discovered the Radwan operatives “entrenched” in the shaft “alongside many weapons and equipment needed for a long stay.”
The IDF did not say when the Hezbollah operatives were captured, and there was no immediate announcement from the Lebanese terror group on the matter.
The military also published a video clip of an alleged Radwan operative being interrogated about the terror group’s plans in southern Lebanon and the current state of its operations. It was unclear whether the suspect in the video was one of the three that the IDF said it arrested.
In the video, he painted a picture of chaos within Hezbollah at large and the Radwan forces in particular.
Get The Times of Israel's Daily Editionby email and never miss our top stories
Several days before being discovered, he said, an airstrike in the vicinity had cut his contact with a nearby cell of four operatives. Then, the three men he had been stationed with fled, leaving him alone.
“The village was emptied,” he said. He added that the regional commander and his deputy both abandoned their posts before the fighters did, speculating that they did so because “they had conflicts among themselves.”
A member of Hezbollah’s elite Radwan forces is seen in an interrogation video published October 15, 2024. (Israel Defense Forces)
Pressed on the matter by the interrogator, the Radwan fighter posited that those who fled had “little faith,” having chosen to join Hezbollah for the money rather than ideology.
“Of course, they were scared of Israel,” he acknowledged.
The interrogator then turned his attention to a different topic.
“What was the Radwan Force’s goal over the last period?” he asked.
Pausing momentarily before answering, the operative responded that the first objective was to respond to any strikes that came their way. The second long-term goal was “to perhaps push forward to the Galilee.”
“To enter Israel?” the interrogator asked, receiving an answer in the affirmative.
“That was the plan if there was fighting.”
The remark on a plan to invade the Galilee was consistent with briefings from the army in recent weeks in which they revealed that days after Hamas’s October 7 mass onslaught in southern Israel, thousands of terrorists had been positioned near the Lebanon border in a plan to storm the Galilee and unleash similar carnage there.
Pivoting suddenly, the interrogator once more demanded to know why those stationed in the south — supposedly in preparation for an anticipated invasion of Israel — had all seemingly fled.
“After the assassination of Hassan [Nasrallah], I didn’t see any of them,” the operative responded, referring to the massive strikes in Beirut on September 27 in which the Hezbollah leader was killed.
The capture of Hezbollah forces has not been common. On Sunday, the military announced for the first time since the ground offensive began it had captured a Hezbollah fighter in an underground bunker.
Hezbollah has been badly hit over the last month, starting with sabotage attacks that saw pagers and walkie-talkies belonging to terror operatives explode in two waves on September 17 and 18, killing at least 39 people and injuring thousands more. The attack has been widely blamed on Israel, despite it staying silent on the matter.
Days later, Israel launched a major offensive against the Iran-backed Hezbollah on September 23 with the aim of allowing residents of northern Israel to return to homes they had been forced to evacuate during a year of cross-border rocket fire from Lebanon.
The attacks on northern Israel over the last year have resulted in the deaths of 28 civilians. In addition, 38 IDF soldiers and reservists have died in cross-border skirmishes and in the ensuing ground operation launched in southern Lebanon late last month.
Sidhani kama familia za vigogo wa hamas ,hizbollah na hayat raisi wana maoni kama yakoIsrahell ukiisikia inasifiwa na bbc na voa unaweza ukafa papo hapo
😁😁😁😁Israhell ukiisikia inasifiwa na bbc na voa unaweza ukafa papo hapo
Iran wamedukua kitambo , kawaida ya jamaa wanashindwa kukubali nao ni dhaifu ...Huyu mdada kiasili ni muiran ila kwao ni America .
Wao sio mimi na wala mimi sio wao kwanini tuwe namaoni sawaSidhani kama familia za vigogo wa hamas ,hizbollah na hayat raisi wana maoni kama yako
Wazayuni wa jf wakiipamba israhell unaweza ukafaingekuwa israeli ndo wamepata siri za irani ungesikia humu kujifia sijui MOSAD,mara IDF kiboko...kumbe hata Iran moto wa kuotea mbali kijasusi
Kwanza nenda MEMKWA kajifunze kuandika kwa mkato na nukta. Wakufundishe na tofauti ya "l" na "r"Hiii ndio kauli yenu ya kujichia baada y kuwakosa mateka sasa mtasema nini jehova viwete watatembeya vipofu wataona uwongo uwongo ni jadi yenu mmekuta uwongo na mnaendeleza uwongo ukija kwenye ukweli waisrael wanawasaka ndugu zao kwagalama kubwa yamaisha yao opelesheni nyingi wamefanya kuokoa watu wao. Sababu kuu wakiwaokoa watakuwa wanweza kupiga popote tofaut nasasa ambaop wanawaza pengine wapo pale na uko nyuma washauwa mateka wao kwaiyo sio kweli wameewaacha makusudi uwongo mchana kweupe Israel ata akipata watu wake akuna wakumzuiya asige gaza si ata atadai tu nabomoa viwanda vya silaa au nabomoa mfumo w mahandaki,, Lebanon ishauwa watu wengi na akuna mateka w kiIsrael hoja yenu yakitoto inafanana na ile viwete wanapona kisha watu wanajaa afu kumbe kuna muvi imeandalia!!!!
Hakuna neno "polojo" kwenye Kiswahili bali kuna "porojo". Huna uwezo wa kiandika, je unaweza ukawa na uwezo wa kutoa point?Waisrael wanapenda sifa wangeshaokoa chap na apo sasa ndio wangesawazisha iyo gaza kubaki mateka gaza kunalisumbua sana jesh la Israel ayo mengine polojo zenu zakujifichia.
Kwa vile upo kivule huwez kua na maoni sawa walio mstari wa mbele by the way vita sio kitu ya kuletea ushabiki ni watu wasio na hatia ndio wanaoumiaWao sio mimi na wala mimi sio wao kwanini tuwe namaoni sawa
Wewe jamaa unakurupuka sana naungana na wewe wasio na hatia wanaumia vitani ila mimi sio nilioanzisha vita pia waloanzisha vita bado wanaendeleza kupigania haki zao na lazima tuwasapoti kwakupambania haqqi zaoKwa vile upo kivule huwez kua na maoni sawa walio mstari wa mbele by the way vita sio kitu ya kuletea ushabiki ni watu wasio na hatia ndio wanaoumia
Nilikufa nikafufukaMbona haujafa siku zote?