Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
Watu wamekosa uvumilivu kabisa
JF inaweza kufa kifo cha mende kama hatua za dhararu kama hizi za ban na nyinginezo hazitachukuliwa. Hawa wote uliowaorodhesha ni members wanaaongoza kwa kupost vitu vya hovyo. Mimi ningependa sana moderators kama wangekuwa wakali na waondoe kabaisa members wa aina hiyo na pia zile threads zinazozungumzia mambo ya kijinga. Nyie mliojiunga JF miaka ya sasa hamuwezi kujua jinsi miaka ya nyuma tulivyokuwa na members wa maana hapa na wengi wamekimbia baada ya ''watoto'' wengi kulivamia jukwaa na threads zao za kijinga.
 
Suluhisho ni kuwa na altenative ID
......kuna wengine wanapenda kujulikana kwa ID moja, na multiple IDs ni dalili za addiction na mitandao, mi nadhani kwamba cha kufanya ni 1.watu kuwa na staha na uvulivu 2. kuwa tayari kupokea maoni tofauti ikiwemo matusi hata kama kitu ulichozungumza unadhani ni positive 3.ukishapigwa ban kuwa mvumilivu, ingia kama guest, ID mpya anzisha kama umepigwa life ban or at least miezi mitatu........
nb:watu waliomo humu ni watu tulionao mtaani, unaweza katiza mtaani mtu akakutukana, akakutupia mawe, kumbe ni kichaa, so usishangae humu mtu kaamka na kuanza kukushambulia ndo hao machizi, wengine wamevurugwa majumbani, stress wanazipunguzia humu, tena kwa memba yeyote yule.......ni kuwa makini tu......
 
Nakazia...

Wanaoandika upuuzi waondolewe tu, hata kama ni uhuru wa kuongea basi watu wajiheshimu waongee kama watu wazima.

Mod wamefanya kazi nzuri, wawe na huu utaratibu kila siku
 
Umesema vyema sana mkuu, upo sahihi sikupingi
 
......hongera Sana kama unaweza kujicontrol, kwenye ugomvi silaha namba moja ya mwanamke ni matusi na maneno makali, akishindwa ndo anang'ata na badae kabisa mawe......
 
Ila maisha ya humu usiyachukulie sana serious.

Imagine, nilishikwa na hasira mno na nilikusudia nikamuwajibishe yule choko. Nashukuru Mungu hatujuani, vinginevyo ningemfata nimpasue chuma cha kichwa.

Baadae nakaa nimejitafakari mimi naye ni mpumbavu sana. Mtu hanijui simjui. Aniletee upuuzi wa nini tena kwa prints za mitandaoni? Mwenye tatizo ni mimi, wala si yeye.

Nimeazimia, I will argue no more. I will never abuse anyone. Acha niishi maisha yangu..
 
Mkuu unaitafuta ban kwa nguvu zako zote
 
😂😂😂😂😂 Daaah nimecheka kama fala aseee utoto raha sana mkuuu



Ila jf imevamiwa sisi watu waxima na ndevu zetu tunateseka sana 😁😁
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…