......kuna wengine wanapenda kujulikana kwa ID moja, na multiple IDs ni dalili za addiction na mitandao, mi nadhani kwamba cha kufanya ni 1.watu kuwa na staha na uvulivu 2. kuwa tayari kupokea maoni tofauti ikiwemo matusi hata kama kitu ulichozungumza unadhani ni positive 3.ukishapigwa ban kuwa mvumilivu, ingia kama guest, ID mpya anzisha kama umepigwa life ban or at least miezi mitatu........
nb:watu waliomo humu ni watu tulionao mtaani, unaweza katiza mtaani mtu akakutukana, akakutupia mawe, kumbe ni kichaa, so usishangae humu mtu kaamka na kuanza kukushambulia ndo hao machizi, wengine wamevurugwa majumbani, stress wanazipunguzia humu, tena kwa memba yeyote yule.......ni kuwa makini tu......