Kuvumiliana JF

Kuvumiliana JF

Status
Not open for further replies.
Mbn huo uzi ulinipita maana mimi napenda ugomvi mbaya halafu simkubaligi kabisa huyo sjui coca......, baada ya kumfatilia sana anaonyesha ni mwanaume ila ambaye sijui kazidiwa na ukike yaani sielewi........,

Antonia japo hatuna mazoea ila majukwaa mengi ambayo nipo na yeye huwa namuona...., ni c* flan hivi yuko simple (japo hajawahi kucomment chochote ambacho kilinivuta hisia ya kumfatilia sana) sema tuu kampani yake hiyo na coca huwa siimaindishi wala....,

Mimi Namshukuru Mungu hata kama simkubali mtu vip huwezi ona nimemquote mahali kuanza kuchafua na wala sjui kuzama kwenye post zake kuleta vurugu huwezi niona na hizo mambo ...... Kusema ukweli hapa Jf kuna watu wawili tuuu ambao siwakubali kutoka rohoni mmoja anajifanya anapenda chini sana ila ukimfatila kwa karibu anasupport mambo flan hivi ya kipuuzi sana ( Comment zipo kwenye uzi wa Rik Boy).... wa pili ndo huyo dume jike ambapo kila jukwaa yupo na anacomment emoji mda wote sjui ndo kuvuta attention au vip
 
Mbn huo uzi ulinipita maana mimi napenda ugomvi mbaya halafu simkubaligi kabisa huyo sjui coca......, baada ya kumfatilia sana anaonyesha ni mwanaume ila ambaye sji kazidiwa na ukike yaani sielewi........,

Antonia japo hatuna mazoea ila majukwaa mengi ambayo nipo na yeye huwa namuona...., ni c* flan hivi yuko simple (japo hajawahi kucomment chochote ambacho kilinivuta hisia ya kumfatilia sana) sema tuu kampani yake hiyo na coca huwa siimaindishi wala....,

Mimi Namshukuru Mungu hata kama simkubali mtu vip huwezi ona nimemquote mahali kuanza kuchafua na wala sjui kuzama kwenye post zake kuleta vurugu huwezi niona na hizo mambo ...... Kusema ukweli hapa Jf kuna watu wawili tuuu ambao siwakubali kutoka rohoni mmoja anajifanya anapenda chini sana ila ukimfatila kwa karibu anasupport mambo flan hivi ya kipuuzi sana ( Comment zipo kwenye uzi wa Rik Boy).... wa pili ndo huyo dume jike ambapo kila jukwaa yupo na anacomment emoji mda wote sjui ndo kuvuta attention au vip
Cocastic anaweza akawa ke kweri Ila swaga zake ananikubari kinoma 😂

Uyo mwamba usiyemkubali wa Uzi Rik boy namjua kweri ana sifa za kijinga

Umeongea ukweri mkuu
 
Nafunga milango mtu wa mwisho natoka 02:44
images (16).jpeg
 
Cocastic anaweza akawa ke kweri Ila swaga zake ananikubari kinoma [emoji23]

Uyo mwamba usiyemkubali wa Uzi Rik boy namjua kweri ana sifa za kijinga

Umeongea ukweri mkuu
Mkuu Coca wakati anaingia jf 2019 kama sikosei alipost kuomba ushauri na akajitambulisha kama mwanaume[emoji848] kama kichwa hakijapoteza mafile nadhani alikuwa hatumii hata jina la Coca......, Wakati naanza kuona anatuhumiwa na hayo mambo niliporudi kwenye dp yake kumuangalia nikaikuta ile post ya 2019 hapo nahisi gari lilikuwa halijawaka au alikuwa hata huo upuuzi hajaanza kuufanya........., Mkuu sijawaji muhukumu mtu kwa kubahatisha sababu mwenyewe naogopa kumsingizia mtu kitu......

Kuhusu huyo Bwana naona umevunja code yangu moja ya kuwa mtu mwenye majisifa zisizo na maana....., Hongera Mkuu[emoji2]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom