Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine ?

Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine ?

Matayo 5 : 32 .... Talaka ipo kama mmoja wapo akichepuka (zinaa)
One of the misinterpreted text. Text inaongelea uasherati (fornication). Sasa mtu aliye kwenye ndoa anafanya uasherati ama uzinzi?
Original text inatumia neno porneia (Greek) which means illicit marriage...ndoa batili. Mfano mtu amekuwa dada yake. Ndoa ya hovyo inakuwa invalid kuanzia mwanzo. Ndio maana a ilibidi kuivunja kwa sababu I was not there in the first place

Ndo ambayo ni validily contracted haivunjiki kama ilivyo kwa Mrk 10. Mathew anasisitiza ndoa batili.
 
Back
Top Bottom