Dada naona umeangalia upande wa huyo kaka pekee yake
Mimi naangalia upande wa huyo dada aliefanya maamuzi
Reality ni kwamba both of them used each other
Kaka alikua na pesa,kaona dada yupo vurnerable financially,akaingia na gia ya kutoa msaada ili apate penzi
Utaniambia ooh sijui kaka alimpenda sana mpaka katoa hela and blah blah blah
Kama alimpenda sana na hakua na motives za ku-exploit hali ya umasikini wa huyo dada basi asingelalamikia hela zake alizotoa kipindi anaachwa mwishoni
Ni kwamba,penzi kaka alilipata kwa convinicience kipindi dada ana shida ana kaka can fill the financial vacuum
Sasa hivi hiyo financial problem has been solved,dada ni financially independent,naturally umuhimu wa huyo kaka lazima upotee maana yeye ali-base umuhimu wake kwa kutoa msaada wa kifedha
Yeye kaka alidhani kutoa pesa kutampa leverage ya penzi milele kutoka kwa huyu dada maana alikua mtoa matunzo,wakati dada kashavuka hiyo shida inatakiwa aangalie moyo wake unamtaka nani na sio kuendelea kushikiliwa na yule mwanaume sababu tu eti alimsaidiaga kipindi cha shida financially
Unatumia past vurnerabilities za huyu dada kum-hold hostage milele asipende mtu amtakae?
Wacha sanaa
Piga chini hiyo maiti,he paid for the ride,safari imeisha,its time for huyo dada kupata mtu of her own choice and not convenience
Acha kua na mihemko kwa vihela vyenu vya msaada,dada hakua na namna
Acheni kabisa kupitisha judgement mufilisi hizo
Na huu upumbavu wa nilimsaidiaga kipindi cha shida and blah blah kipo vinchi vyetu hivi vya kimasikini huku
Kila kitu boils down to pesa this pesa that and blah blah....hii ni sababu ya umasikini mkubwa kutoa hela kunaonekana ni ultimate sacrifice kumbe ni nonsense tu