Kuvunjika kwa uchumba

Kuvunjika kwa uchumba

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Eti atafute kiazi mwenzie
emoji1787.png
.

Kaka huna roho ya huruma japo kidogo.


Sisi tunachoongea ni kwanini asingemwambia mapema kama hakumpenda!?!

Saint Anne
witnessj

Mchagga na huruma wapi na wapi dada, ila wachache mno waelewa [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa hana huruma kabisa.

Darmian ni kweli kuwa wachaga hamna huruma?
 
Hahahahahaha lakini nilipo jaribu zaidi kufwatilia hili swala pia nikagundua dada zake wote walisha achika na waume zao na wapo wapo tu .
Ndo Mana wazee was wazamani walikua wanachunguza familia au ukoo kabla ya kuoa kwa Sababu kama hizi.

Hata Mimi nime experience hip kitu kwa mke wangu
 
Kuachwa hua ni kosa la alieachwa

Cha ajabu alieachwa hua anaamini yeye hana kosa kumbe yupo dellusional

Mwamba ndio ana makosa binafsi labda ni weaknesses na vitu vingine ndio maana kaachwa

Ifike pahali mtu uwe na uwezo wa kutatua kasoro zako za mapenzi wewe mwenyewe uache kwenda serikalini au kumlaumu aliekuacha

Huyo mwanamke kaona it was not in her best interests kuendelea kua na loser kama huyo in her own view

Huyo mwanamke yuko sahihi,haiwezekani aendelee kua na mtu ambae yeye anaona sio anavyotaka yeye

Alieachwa ajilaumu yeye kama yeye kwamba hakufaulu mtihani kwenye ubongo wa alie muacha

Majitu mengine mashenzi sana,yanalia lia vitu vya kipumbavu kabisa

Lenyewe linadhani huyu dada ampokee tu hata kwa lazima on his own self interests sababu asiumie moyo na alitoaga muda wake,etc

Kila mtu ana self interest hapa,kama hakuna overlap za common interest basi dump each other and stop complaining
Haa ha ha eti loser [emoji16][emoji16]
 
Dada naona umeangalia upande wa huyo kaka pekee yake

Mimi naangalia upande wa huyo dada aliefanya maamuzi

Reality ni kwamba both of them used each other

Kaka alikua na pesa,kaona dada yupo vurnerable financially,akaingia na gia ya kutoa msaada ili apate penzi

Utaniambia ooh sijui kaka alimpenda sana mpaka katoa hela and blah blah blah

Kama alimpenda sana na hakua na motives za ku-exploit hali ya umasikini wa huyo dada basi asingelalamikia hela zake alizotoa kipindi anaachwa mwishoni

Ni kwamba,penzi kaka alilipata kwa convinicience kipindi dada ana shida ana kaka can fill the financial vacuum

Sasa hivi hiyo financial problem has been solved,dada ni financially independent,naturally umuhimu wa huyo kaka lazima upotee maana yeye ali-base umuhimu wake kwa kutoa msaada wa kifedha

Yeye kaka alidhani kutoa pesa kutampa leverage ya penzi milele kutoka kwa huyu dada maana alikua mtoa matunzo,wakati dada kashavuka hiyo shida inatakiwa aangalie moyo wake unamtaka nani na sio kuendelea kushikiliwa na yule mwanaume sababu tu eti alimsaidiaga kipindi cha shida financially

Unatumia past vurnerabilities za huyu dada kum-hold hostage milele asipende mtu amtakae?

Wacha sanaa

Piga chini hiyo maiti,he paid for the ride,safari imeisha,its time for huyo dada kupata mtu of her own choice and not convenience

Acha kua na mihemko kwa vihela vyenu vya msaada,dada hakua na namna

Acheni kabisa kupitisha judgement mufilisi hizo

Na huu upumbavu wa nilimsaidiaga kipindi cha shida and blah blah kipo vinchi vyetu hivi vya kimasikini huku

Kila kitu boils down to pesa this pesa that and blah blah....hii ni sababu ya umasikini mkubwa kutoa hela kunaonekana ni ultimate sacrifice kumbe ni nonsense tu
Ahaa haaa haaaaha....Wyatt[emoji101][emoji101][emoji101]

Eti piga chini hiyo maiti[emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahaaa

Wewe dada una vituko aisee

Anae mjua huyo kaka ni huyo dada,sio wewe!

Huyo dada yupo entitled and qualified to do the decisions on him kama alivyofanya sio wewe

Huyo dada kafanya maamuzi sahihi kwake sababu as a rational human being kafanya kitu anachoona yeye on her best interest!

Nyie kufikiria kuhusu vijihela and blah blah ni emotions zenu tu ambazo hazina msingi

Yaani nyie kwa utashi wenu mnaona ni sawa hela za msaada ziwe ni kigezo cha kushikilia loyaty na penzi la mtu kwa mtu hata kama hampendi?Kama ni hivyo hiyo ni coercion force,sio mutual love

Yaani unalazimishwa kumpenda mtu milele sababu ya value ya monetary units supplied regardless?
This is deep asee[emoji101][emoji101][emoji101][emoji122][emoji122]
 
Unaona sasa

Huyo dada hana kosa

Aliingia kwenye penzi kama blow back effect ya penzi lake la kwanza

Hakumpenda huyu mpya kama inavyotakiwa

Hivyo kafika pahala kapata mtu anaemhitaji

The nigga has no choice zaidi ya kumuachia huyo dada anaenda kwa huyo mtu bila masharti yeyote

Na huyo kaka atafute kiazi mwenzie

Kuhusu hoja ya hela,ndio maana nikasema ni emotions zenu tu

Nyie mmeona sana msaada wa hizo hela wakati anamsadia huyo dada,jee huyo dada alikua hamsaidii huyo kaka vingine hela included?Jibu ni Yes

Nyie mpo na sympathy na huyo kaka,ndio maana nasema ni emotions zimewakumba

Kwenye mapenzi hakunaga makosa ya yeyote..ni kwamba people are faithful as long as their options

Dont take things personal,kaenda kwa mwingine maana you are not worthy it,chapa lapa nenda kwa anaekukubali,mengine ni laana za kingese tu
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]

Ha ha ha ha


Aseee leo Wyatt umepuliza cha wapi... Oklahoma?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Kuhusu mioyo ni full haki dada yangu

Hakuna moyo wa mtu unaonewa mapenzi

Umenyimwa mapenzi ni kwamba hupendwi,huna pa kwenda kushitaki popote duniani

Jishitaki wewe mwenyewe kwenye moyo wako binafsi
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] ujishtaki?[emoji1787][emoji1787]
 
Ndio maana nikasema sio wote wabaya my dada Saint, wako vilevile wenye roho nzuli tena wengi mbona. Lakinii mshikaji wangu Wyatt Mathewson ucnifikirie vibaya babaa [emoji1] jokes tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe basi si tatizo la wachagga,ila ni tatizo la mtu mmoja mmoja.
Hata makabila mengine tu ,Kuna wenye roho nzuri,na wenye mbaya.
 
Unaona sasa

Huyo dada hana kosa

Aliingia kwenye penzi kama blow back effect ya penzi lake la kwanza

Hakumpenda huyu mpya kama inavyotakiwa

Hivyo kafika pahala kapata mtu anaemhitaji

The nigga has no choice zaidi ya kumuachia huyo dada anaenda kwa huyo mtu bila masharti yeyote

Na huyo kaka atafute kiazi mwenzie

Kuhusu hoja ya hela,ndio maana nikasema ni emotions zenu tu

Nyie mmeona sana msaada wa hizo hela wakati anamsadia huyo dada,jee huyo dada alikua hamsaidii huyo kaka vingine hela included?Jibu ni Yes

Nyie mpo na sympathy na huyo kaka,ndio maana nasema ni emotions zimewakumba

Kwenye mapenzi hakunaga makosa ya yeyote..ni kwamba people are faithful as long as their options

Dont take things personal,kaenda kwa mwingine maana you are not worthy it,chapa lapa nenda kwa anaekukubali,mengine ni laana za kingese tu
Laana za ma ex [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom