Kuwa kwenye mahusiano na single mother yataka moyo

Wacha bhana
 
Sijui ulipataje ujasiri wa kuendelea na mazungumzo nae baada ya kukata simu.

Mimi hapo hapo wakati anaongea kitendo cha kusema wifi mambo, nimeshampigia simu bodaboda aje amchukue na sitaki mazungumzo bodaboda akishafika namwambia unasubiriwa nje.....


Upuuzi mwingine ukiendekeza utakuja bambikiwa watoto wasio wako. Mapenzi kitu gani hadi uanze rukiana na mtu ambaye tayari ameshapata mtoto na mwanaume mwingine?!

Huo ni ufala pro max.
 
Dogo huna hela sijaona tatizo katika maombi ya huyo bibie.. kaomba vitu vya kawaida Sana ambavyo mwanaume mchakarikaji havimsumbui kufungua thread.
Nikusisitizie tu , tafuta hela.
Nakazia hapa.
 

Mwanzoni anaweza akakupenda kama mwana mpaka ukajihisi umekuwa mwanamfalme
Ngoja ssa akuvulie pants upige kimoko cha ndomu utajua hujui
Utapiga simu kama ile namba ya voda huduma kwa wateja 09... hutaona ikipokelewa akija kupokea baadae utasikia niliacha simu ndani oooh ng’eng’e nyingi
Ukiongea nae kidogo mara ooh mtoto analia ngoja nimbembeleze ntakurudia ukikata ndio mazima
Kumbuka wakati analeta mada ya mtoto ukiipinga malalamishi yanafuata ooh kisa sio mtoto wako


Dah kwa kweli hawa viumbe sio wa kuwawekea imani kwa ujumla japo wapo waliodumu na wapo waliotokea kwenye uzao wa ndoa ya single mother.
Ila mimi hawa huwa ninawachukulia kama mbwa jike akipata joto na faru yuko mbali yeye huwa anapita na yeyote aliyeko karibu nae
 
Hapo kwenye kucreate bond hivi hawafanyi na "bonding" kweli?!
 
mimi nawatafuta lakini siwapati hasa mwenye mtoto mmoja nimwongeze mwingine!
hawana tabu we patana na mtoto wake kwa vizawadi na kulipa ada ya shule kwisha habari yake.
Sasa Kama anatumia jiti kuzuia mimba je? Utaweza kumpa ujauzito?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata akimpeleka wapi tayari mahusiano yalishapamba moto! Kama nigali lilishakatika bleck[emoji1787]
Nikweli Kama amekukubal hawez kumkumbuka baba mtoto, ata mkumbuka baba watoto Kama atapata manyasho na shida na yeye ata pima je alipo kuwa mwanzo na Sasa wapi pana furaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli inawezekana kwa asilimia zote ila lazima akuchemshe ubongo kidogo
Nikwel lakin wanawake wa kiswahil wanajua walipo toka na walipo, hawajui waendapo ndiyo maana akipata mpenz mpya lazma ampime na mpenzi wake wazam, kwaiyo akiona mpenz wake was zamani ana maksi nyingi kuliko aliye nae kwa wakati huo lazma ataka kujirudisha kwa mpenz wake wa zaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ki ukweli maswala ya mahusiano yamesha nishinda kitambo nimeamua kufanya mambo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…