Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Limekukuta jambo nini kaka🤣🤣Nimekoma kutukana mamba kabla sijavuka mto,Nimekoma...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limekukuta jambo nini kaka🤣🤣Nimekoma kutukana mamba kabla sijavuka mto,Nimekoma...
Asante Fina..waambie 🤣🤣Jamani jamani hadi kufukua kaburi😒😒 mbona kuna single moms wanaojiheshimu mkuu kupasha viporo hawana mpango huo kabisa.
Wacha bhanaHahahaha alikuja kuleta mtoto town tukapasha kipolo kama wik mbil hivi ujumbe alioniambia kwamba yule mtoto sio wa Mme wake ni wangu nimemjarb kumtafuta usiku huu kaniambia Mme wake hayupo nimemuambia aje tulelee watoto kakubali hahahaha single mother shikamon kauli mbiu ya JF "mpaka mtuonyeshe kaburi la baba mtoto wako "
Sijui ulipataje ujasiri wa kuendelea na mazungumzo nae baada ya kukata simu.Hahaaa umenikumbusha mmoja huyo nilikutana nae kazin kama new employeee....
Mpole mpole hivi nikasema ngoja nioshe rungu nipite, wee yule dada sijui alinifanyoa nini, nikaja kukuta nimempenda vile isivyo kawaida, nikipiga simu jion asipopatikana mwili wote unajaa joto unalegea nahisi kufa.
Maisha yakasonga kaja nambia ana mtoto wa kike kazaa na ex wake tena wakiwa chuon 2nd year, eheee nambie mamii huyo mtoto yuko wapi?
Yupo kwa bibi yake mzaa baba yake, hahaa vitimbwi umekaa nae seblen unataka kumega utamu simu inapigwa na mama yake mkwe huyo anae kaa na mtoto.
Mama: Binti habari?
Binti: Nzuri mama shikamoo,
Mama: Marahaba, vipi huyu mwanao hujapiga simu kuulizia maendeleo yake ya shule, ila kanajitahidi sana na baba yake alimtumia hela za nguo hapa nimemnunulia kapendeza sana.
Binti: ooh vizuri sana mama, ajitahidi katika masomo
Mama: Kuna wifi yako anataka kukusalimu
Binti: haya mpe simu.
Binti: Wifi za huko jaman, nilikuona profile umenawiri na kupendeza.
Wifi: Asante wifi, ile picha nilipiga ile sehem aliyotupeleka kaka siku ya siku kuu mlipokuwa huku kipindi kile cha siku kuu
Binti: Aaah usinikumbushe ile sehem nzuri jaman na ile siku nilienjoy sana.
Wifi: lini unakuja wifi yangu, uje bwana mwanao anakuwa mkiwa sana wengine mama zao wanakuja wanafurahia mapenzi ya mama yao wa kwako anakuwa mkiwa.
Binti: nitakuja wifi ngoja nishugulikie likizo.
Unapata picha ya wewe umekaa kwenye sofa hapo pemben unasubiria mtu amalize story za upuuz za hivyo,
Basi akikata simu anawaponda kidogo, yan hawa kila mara wanadai uniform, viatu vya mtoto sijui nguo za siku kuu bora nije nichukue mwanangu.
Mimi: Eeeh chukua mtoto huyo haya mawasiliano yenu hayanivutii
Binti: baby punguza wivu ww nae, yule ana mpenz wake na mm nina wewe ni bahat mbaya tu mimba iliingia tukapata huyu mtoto.
Mara siku nyingine, simu ya huyo baba watoto wake, anavunga kupokea, jamaa anatuma msg hebu punguza jazba mtoto apate malezo yetu sote, juzi nimeongea nae kasema msalimie mama.
Utaona binti analegea, anavizia ukiondoka waongee.
Nikasema huu ni utumwa ndani ya nchi huru yenye wanawake wengi kuliko wanaume.
Nilisikia habr za fununu walivishana pete baadae tena.
Avoid mwanamke mwenye mtoto, waigizaji sana ila ipo siku atakuumiza balaa had ustashangaa na kujifanya unajua kukamatia walojazwa watoto
Nakazia hapa.Dogo huna hela sijaona tatizo katika maombi ya huyo bibie.. kaomba vitu vya kawaida Sana ambavyo mwanaume mchakarikaji havimsumbui kufungua thread.
Nikusisitizie tu , tafuta hela.
Hahaaa umenikumbusha mmoja huyo nilikutana nae kazin kama new employeee....
Mpole mpole hivi nikasema ngoja nioshe rungu nipite, wee yule dada sijui alinifanyoa nini, nikaja kukuta nimempenda vile isivyo kawaida, nikipiga simu jion asipopatikana mwili wote unajaa joto unalegea nahisi kufa.
Maisha yakasonga kaja nambia ana mtoto wa kike kazaa na ex wake tena wakiwa chuon 2nd year, eheee nambie mamii huyo mtoto yuko wapi?
Yupo kwa bibi yake mzaa baba yake, hahaa vitimbwi umekaa nae seblen unataka kumega utamu simu inapigwa na mama yake mkwe huyo anae kaa na mtoto.
Mama: Binti habari?
Binti: Nzuri mama shikamoo,
Mama: Marahaba, vipi huyu mwanao hujapiga simu kuulizia maendeleo yake ya shule, ila kanajitahidi sana na baba yake alimtumia hela za nguo hapa nimemnunulia kapendeza sana.
Binti: ooh vizuri sana mama, ajitahidi katika masomo
Mama: Kuna wifi yako anataka kukusalimu
Binti: haya mpe simu.
Binti: Wifi za huko jaman, nilikuona profile umenawiri na kupendeza.
Wifi: Asante wifi, ile picha nilipiga ile sehem aliyotupeleka kaka siku ya siku kuu mlipokuwa huku kipindi kile cha siku kuu
Binti: Aaah usinikumbushe ile sehem nzuri jaman na ile siku nilienjoy sana.
Wifi: lini unakuja wifi yangu, uje bwana mwanao anakuwa mkiwa sana wengine mama zao wanakuja wanafurahia mapenzi ya mama yao wa kwako anakuwa mkiwa.
Binti: nitakuja wifi ngoja nishugulikie likizo.
Unapata picha ya wewe umekaa kwenye sofa hapo pemben unasubiria mtu amalize story za upuuz za hivyo,
Basi akikata simu anawaponda kidogo, yan hawa kila mara wanadai uniform, viatu vya mtoto sijui nguo za siku kuu bora nije nichukue mwanangu.
Mimi: Eeeh chukua mtoto huyo haya mawasiliano yenu hayanivutii
Binti: baby punguza wivu ww nae, yule ana mpenz wake na mm nina wewe ni bahat mbaya tu mimba iliingia tukapata huyu mtoto.
Mara siku nyingine, simu ya huyo baba watoto wake, anavunga kupokea, jamaa anatuma msg hebu punguza jazba mtoto apate malezo yetu sote, juzi nimeongea nae kasema msalimie mama.
Utaona binti analegea, anavizia ukiondoka waongee.
Nikasema huu ni utumwa ndani ya nchi huru yenye wanawake wengi kuliko wanaume.
Nilisikia habr za fununu walivishana pete baadae tena.
Avoid mwanamke mwenye mtoto, waigizaji sana ila ipo siku atakuumiza balaa had ustashangaa na kujifanya unajua kukamatia walojazwa watoto
Copy that
Another man down
Hapo kwenye kucreate bond hivi hawafanyi na "bonding" kweli?!Nime-imagine tu eti mume wangu ananiruhusu niende nyumbani kwa baby daddy na watoto tukacreate bond kwa few days, au mume naye akafikie kwa baby momma (analipa kodi yeye) waishi on the same roof in the name of kucreate bond na mtoto. Mmh hakunaga
Si unakumbuka kipindi kile Dai alisema Mama Tee alikuwa anaforce awalete watoto yeye, ilhali Dai alikuwa na Tanasha. So alivyokataa, na mama Tee na yeye akagoma watoto wasiletwe na mtu mwingine. Ngoja tusubiri huko mbeleni
Sasa Kama anatumia jiti kuzuia mimba je? Utaweza kumpa ujauzito?mimi nawatafuta lakini siwapati hasa mwenye mtoto mmoja nimwongeze mwingine!
hawana tabu we patana na mtoto wake kwa vizawadi na kulipa ada ya shule kwisha habari yake.
Nikweli Kama amekukubal hawez kumkumbuka baba mtoto, ata mkumbuka baba watoto Kama atapata manyasho na shida na yeye ata pima je alipo kuwa mwanzo na Sasa wapi pana furahaHata akimpeleka wapi tayari mahusiano yalishapamba moto! Kama nigali lilishakatika bleck[emoji1787]
Hapo kwenye kucreate bond hivi hawafanyi na "bonding" kweli?!
Kivip mkuuu? Si unaweza kumzalisha na uka mtelekeza ?Usiombe yakukute tena tema mate chini maana kumzalisha single mama nikujichimbia kaburi.
Hawa wababa sijui wanatonaje wadada 😀 aarghAsante Fina..waambie 🤣🤣
Yani hata sielewagi aise kha!!Hawa wababa sijui wanatonaje wadada 😀 aargh
Nikwel lakin wanawake wa kiswahil wanajua walipo toka na walipo, hawajui waendapo ndiyo maana akipata mpenz mpya lazma ampime na mpenzi wake wazam, kwaiyo akiona mpenz wake was zamani ana maksi nyingi kuliko aliye nae kwa wakati huo lazma ataka kujirudisha kwa mpenz wake wa zamanKweli inawezekana kwa asilimia zote ila lazima akuchemshe ubongo kidogo
Nikwel lakin wanawake wa kiswahil wanajua walipo toka na walipo, hawajui waendapo ndiyo maana akipata mpenz mpya lazma ampime na mpenzi wake wazam, kwaiyo akiona mpenz wake was zamani ana maksi nyingi kuliko aliye nae kwa wakati huo lazma ataka kujirudisha kwa mpenz wake wa zaman
Sent using Jamii Forums mobile app