Kuwa kwenye mahusiano na single mother yataka moyo

Hahahha usithubutu kabisa kujichanganya kwa mtu mwenye mtoto lazima ulizwe
 
shida iko wapi asali haina makombo kizuri ajitahidi kukudanganya usijui na hili ni rahisi sana akienda abebe sabuni anayotumia nyumbani na mafuta yake ili akioga unaona kawaida tu sio aogee sabuni ya hotel we vipi! ushamkuta na mtoto wivu wa nini?

Kwa lugha nyepesi unahalalisha usaliti

Sasa hayo yote ya nini?kwanini kama umeamua kumove on usitulie na uliye nae sasa?mtu kaamua kukuchukua na mwanao lakini bado unaleta janja janja za kubeba sabuni na mafuta ili kuficha usaliti
 
Kwa lugha nyepesi unahalalisha usaliti

Sasa hayo yote ya nini?kwanini kama umeamua kumove on usitulie na uliye nae sasa?mtu kaamua kukuchukua na mwanao lakini bado unaleta janja janja za kubeba sabuni na mafuta ili kuficha usaliti
moja ya changamoto walionayo wanawake walio single ni kuonekana ni kama wanawake malaya kitu ambacho kinaweza kuwa sio kweli! huwa wanaangaika kwa sababu wamekosa upendo na wengi wamejeruhiwa mno na wanaume.
hivyo kipo kipindi cha mpito ambacho unahitaji kumvumilia na kumsaidia ili ajenge imani kwako.
hivyo changamoto za yeye kurudi kwa x wake ni kitu kinachowezekana na kinahitaji uvumilivu
 
🤣🤣🤣 dah!
Ndo hivyo ndugu hakuna jinsi kua uyaone wakwambie ukweli dada zako! asli haina makombo wala haichachi kwa mtu kuweka kidole aionje utamu wake
 
Usiongeze neno,just comment a short line, "time will tell them"

saivi waache kwanza,maana hamna neno utaweza ongea ukaeleweka.

Bado una akili za kivulana sisi wanaume kamili hatuingii mitego ya single mother
 
UNAJUA MUNGU SIO MPUMBAVU KAMA ULIVYO, ALIWEKA BIKRA IKIWA NI KIZUIZI CHA KUTO KUFANYA MATUSI. KWAMBA UTARUHUSIWA KUFANYA UNYUMBA BAADA YA KUOLEWA/ KUFUATA TARATIBU RASMI.

SASA KWA KIHEREHERE CHAKO CHA KUVUA VUA MPAKA UMEPATA MTOTO/WATOTO, NDIO KIZUIZI CHA KUJA KUISHI MAISHA YA NDOA. ENDELEA KUJIPA MOYO!!!
 
Dogo huna hela sijaona tatizo katika maombi ya huyo bibie.. kaomba vitu vya kawaida Sana ambavyo mwanaume mchakarikaji havimsumbui kufungua thread.
Nikusisitizie tu , tafuta hela.
Hii ndio inakujaga kulia
 
Mimi wangu nikitaka kumchakata huniambia nitume kwanza ada ya mwezi ya mtoto wake ndyo nakula mkuyati na papuchi mpaka inachemka
 
Baba mzazi wa watoto atakuja kuwaona watoto wake hata wakiumwa Mafua

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…