Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shida iko wapi asali haina makombo kizuri ajitahidi kukudanganya usijui na hili ni rahisi sana akienda abebe sabuni anayotumia nyumbani na mafuta yake ili akioga unaona kawaida tu sio aogee sabuni ya hotel we vipi! ushamkuta na mtoto wivu wa nini?
Uzoefu na nini binamuWanauzoefu pia...
moja ya changamoto walionayo wanawake walio single ni kuonekana ni kama wanawake malaya kitu ambacho kinaweza kuwa sio kweli! huwa wanaangaika kwa sababu wamekosa upendo na wengi wamejeruhiwa mno na wanaume.Kwa lugha nyepesi unahalalisha usaliti
Sasa hayo yote ya nini?kwanini kama umeamua kumove on usitulie na uliye nae sasa?mtu kaamua kukuchukua na mwanao lakini bado unaleta janja janja za kubeba sabuni na mafuta ili kuficha usaliti
🤣🤣🤣 dah!hivyo changamoto za yeye kurudi kwa x wake ni kitu kinachowezekana na kinahitaji uvumilivu
Ndo hivyo ndugu hakuna jinsi kua uyaone wakwambie ukweli dada zako! asli haina makombo wala haichachi kwa mtu kuweka kidole aionje utamu wake🤣🤣🤣 dah!
Endeleeni kukubaliana tu lakini kuna mwenzenu huko CONTROLA anasema wingu nene limemtandia[emoji16][emoji16]
Usitukane mamba kabla
Usiongeze neno,just comment a short line, "time will tell them"
saivi waache kwanza,maana hamna neno utaweza ongea ukaeleweka.
Hii ndio inakujaga kuliaDogo huna hela sijaona tatizo katika maombi ya huyo bibie.. kaomba vitu vya kawaida Sana ambavyo mwanaume mchakarikaji havimsumbui kufungua thread.
Nikusisitizie tu , tafuta hela.
Baba mzazi wa watoto atakuja kuwaona watoto wake hata wakiumwa MafuaNakumbuka mwaka jana katikati nilipata kufahamiana na single mother mmoja toka kwenye mtandao maarufu wa kijamii.
Mwanzoni sikujua kama ni single mother mpaka tulivyoanza kuzoeana ndipo alinambia kwamba ana mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka mitatu alizaa na jamaa mmoja ambae kwasasa wameachana.Ingawa sikuwa na mpango wa kumtongoza haraka kihivyo ila yeye mwenyewe alianza kujitongozesha.
Akaanza zile mara tunaonana lini mara ooh sijui unakuja lini vitu kama hivyo nikamwambia tutaonana tu wala usijari mana kiukweli tulikua tuko mikoa tofauti.Balaa lilianza ilipofika December mwezi wa Xmas akaanza kunambia mara mtoto anataka nguo mara sijui vile yani akawa anakomaa kweli kwamba nimnunulie mwanae nguo za sikukuu mara ooh kodi ya nyumba inaisha naomba unisaidie kulipa......sasa nikawaza huyu sijaonana nae live kashaanza kunipa majukum ya baba wa mtoto je nikishakutana nae faragha sio ndio nitakua napigwa invoice kila uchao
Nikaona isiwe kesi wacha nimpotezee mana sipendi mwanamke ambae mwanzoni tu anaanza kulia shida kabla hata sijamgegeda
Sijui kwa wengine ila binafsi siamini kama kweli single mothers wanakuaga na mapenzi ya dhati, huwa naamini kujibebisha kwao ni maigizo tu ili mambo yake yaende sababu anachohitaji yeye ni pesa tu kwaajiri ya kutatua matatizo yake mana wanakuaga na shida kupita maelezo.
Je kuna mtu mwingine yeyote humu ambae kashawahi kuwa kwenye mahusiano na single mother na kama uliwahi je ni nini kilikufanya uachane na single mother ?
Karibuni tuweze share experience
Aaaahaa,yamekukuta yapi mkuu.Nimekoma kutukana mamba kabla sijavuka mto,Nimekoma...