Kuwa makini kijana usije juta kama nilivyo juta

Hapo kwenye kumwamini ndio ulipuyanga. Wanawake ni kama wanasiasa hutakiwi kuwaamini

Nadhani waliosema tuishi nao kwa akili walikua wanamaanisha tusiwaamini.
 
Hapo kwenye kumwamini ndio ulipuyanga. Wanawake ni kama wanasiasa hutakiwi kuwaamini

Nadhani waliosema tuishi nao kwa akili walikua wanamaanisha tusiwaamini.
Wanawake=wanasiasa haha
 
Single wengi wafannya biashara, kama huwezi kubeba shida zake hatulii na wewe.

Mapenzi ya kisasa magumu sana
Kwani wewe ni baba yake kunawatu wanapenda kuwa serious na majamaa zao, watu ni wavumilivu, wanajali ila mie hadi uwe umeniposa au umenioa aisee siwezi shea nyota yangu nawewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…