Kuwa Makini: Kuna Matapeli huko Instagram wanaodai kuuza iPhone na Smart TV etc wakidai wapo Pemba au Zanzibar

Weka link ya page yao hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fuata huo utaratibu polisi maadam hiyo tigopesa namba ipo nafasi anaaccount huko instagram atapatikana..... Japo Itabidi kidogo pesa ikutoke but najua utaipata...
 
Hivi unaanzaje kumtumia mtu 430k kirahisi hivyo? Akili za kuvukia barabara tu hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app


Huyo jamaa anajiita muzammil electron ashawaibiwa wengi sana kuna WhatsApp group km watu 20 hivi ninaowajua wameungana wanamtafuta kwa maelezo yake basi jamaa ndo huyo huyo na ni jambazi wa kujiamin sana
 
fuata huo utaratibu polisi maadam hiyo tigopesa namba ipo nafasi anaaccount huko instagram atapatikana..... Japo Itabidi kidogo pesa ikutoke but najua utaipata...
Acha kumpoteza mwenzakooo... Hela ya kutuma mtandaoni hakuna hata mahali mmeandikishiana aiseee asahau tuu tena akitaka kujidai kwenda polisi atapoteza pesa nyingine zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…