Kuwa makini na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa rafiki yake wa muda mrefu Bw. Sergey Brin muanzilishi mwenza wa Google

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mie nasemaga kila leo kuwa hakuna starehe duniani inayoizidi ya kula mbususu. Haya billionea wa dunia ambaye anaweza fanya starehe yoyote kaishia kwenye kula mbususu tuu.
Tuzichakate tuu hizi mbususu wakuluga.
Sahii kabisa mkurugezi[emoji16]
 
🤣🤣🤣 Mie nasemaga kila leo kuwa hakuna starehe duniani inayoizidi ya kula mbususu. Haya billionea wa dunia ambaye anaweza fanya starehe yoyote kaishia kwenye kula mbususu tuu.
Tuzichakate tuu hizi mbususu wakuluga.
Hata Bill Gates na yule boss wa Amazon nao walitemana kwa sababu ya kucheat sijui akina Tim Cook waliwaza nini kuwa machoko
 
Elon anasema anapambana na depopulation.

Hadi Sasa ana watoto 10.

Baba yake mzazi juzi kati kazaa na mtoto wake wa kambo yaani dada wa kambo wa Elon musk.

Just imagine.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]
 
Elon Musk ameanzisha lini Google?

Amandla...
 
Kwan hujui Africa kusin wanaongoza kwa kuchakata mbususu na Elon n kaburu n amekulia Africa ana tabia za kiafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…