DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Afu Kuna wapuuz wanasema mbususu zinafilisi( hufanyi maendeleo)[emoji4]Elo ana watoto 9 , of course ni Malaya pro max [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu Kuna wapuuz wanasema mbususu zinafilisi( hufanyi maendeleo)[emoji4]Elo ana watoto 9 , of course ni Malaya pro max [emoji38]
Sahii kabisa mkurugezi[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mie nasemaga kila leo kuwa hakuna starehe duniani inayoizidi ya kula mbususu. Haya billionea wa dunia ambaye anaweza fanya starehe yoyote kaishia kwenye kula mbususu tuu.
Tuzichakate tuu hizi mbususu wakuluga.
[emoji16][emoji106]Bill Gate mwenyewe aliachana na mkewe sababu ya uzinzi.
Mwanaume huwezi kua na mwanamke mmoja, sio mama yako.
Mimi mbususu kazi yangu ni kuzichakata tu.
Wagonjwa wa visukari sugu,kifadulo,kiharusi na mkanda wa Jeshi.Iv kuna wamaume hawali mbususu tofautitofauti?
Kuna tatzo ukila ya mkeo tu?Wagonjwa wa visukari sugu,kifadulo,kiharusi na mkanda wa Jeshi.
Ongezea mashoga na wale wasio na nguvu za kiume[emoji16]
Na bangi anatafuna kama anakula mchicha[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni Mwafrika na ana tabia zote za makabila ya kwao, starehe ya kwanza kwao ni ngono, inayo fuata ni pombe...
Maisha ni haya haya,dunia sio yetu, tule vilivyo mbele yetu
Na ana mpango WA kuongezaAfu bado mseja (hajaoa)[emoji4]
Hata Bill Gates na yule boss wa Amazon nao walitemana kwa sababu ya kucheat sijui akina Tim Cook waliwaza nini kuwa machoko🤣🤣🤣 Mie nasemaga kila leo kuwa hakuna starehe duniani inayoizidi ya kula mbususu. Haya billionea wa dunia ambaye anaweza fanya starehe yoyote kaishia kwenye kula mbususu tuu.
Tuzichakate tuu hizi mbususu wakuluga.
Duh wee naona ata hii safari ya motoni nikuavhie weye peke hatari...Sasa hiyo nayo habari??? Wawe serious....
Niko sambamba na weweDuh wee naona ata hii safari ya motoni nikuavhie weye peke hatari...
Hahahahaaa... Maninaaa! Jamaa kumbe ni noma sana kwa mbususu...Wako 10 sio 9.
Wajinga wale wana bhange ya kusindikwa kutoka Nkhotakhota Malawi acha kabisa.Na bangi anatafuna kama anakula mchicha
Kwa mpenzi wako au mke wako kua makini sana na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa mshikaji wake Bwana Sergey Brin ambae pia ni muanzilishi mwenza wa Google.
Baada ya Elon Musk kumtafuna mke wa Brin urafiki wao wa muda mrefu ukafa baada ya Brin kujua Elon anamla mke wake tena anampiga ile style ya serikali..
Kwenye mapenzi usimuamini mtu. Kuna jamaa yangu ni mwanajeshi, alipelekwa mission Sudan, jamaa yake wa karibu kabisa akamtafuna mkewe mchana kweupe jua limewaka, sema jamaa aliprudi alioa mke mwingine.
Elon Musk ameanzisha lini Google?
Amandla...
Mkuu uwe unasoma kwanza mada unaelewa kabla ya kutoa maoni yako.Elon Musk ameanzisha lini Google?
Amandla...
Ni kweli unachosema.Mkuu uwe unasoma kwanza mada unaelewa kabla ya kutoa maoni yako.