Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

Mkuu Ile stand imejengwa vizuri sana ila customer care,wizi na vitisho mshenzi Kwa abiria vimezidi!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sawa, hilo la customer care ndo ugonjwa wetu mwingine after hisabati lakini ganja ilikutwa kwenye mzigo wake! Do you really believe hiyo ganja jachomekewa hapo hapo kituoni wakati bila shaka mzigo ulifungwa?
 
watu baada ya kutoka polisi huwa wanakuja na stori nyingi sana za kishujaa[emoji28][emoji28][emoji28],kazi kwako sasa kuzichambua.

mtu anaweza kukwambia,niliingia pale nikachimba mkwara mapokezi yote wakaingia chini ya meza,na kuanza kunitetemekea wananiomba msamaha.

huyo jamaa yako anauza bangi,asikupange kisa kaona una kichwa kikubwa.
 
Ile stand ya ubungo kasoro yake ilikuwa mpangilio mbovu na miundo mbinu isiyo rafiki Kwa abiria lakini hakukuwa na uswahili,uonevu na vibaka wengi kama hii stand mpya! Nahisi ni kwakuwa mabasi mengi hayana ofisi pale ingekuwepo nahisi abiria wasingekuwa wanasumbuliwa kama ilivyo Leo,rushwa na usumbufu wa hapa na pale

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unashauri turudi ubungo?
 
Habari wadau..!
Hii imewakuta watu ninao wafahamu.

Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpk polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga ,keko au Segerea sijajua ss kama ni ubambikiwaji kesi au ni coincidence inatokea.

Usiniulize inakuwaje:Jamaa anaadithia alienda kwenye msiba mkoani wakati wa kurudi akafungashiwa mizawadi ya ndizi na mazagazaga alipofika stand akasimamishwa na watu wanajiita polisi jamii wakawapakia na mizigo yao mpaka kituo cha polisi ,polisi wakachana katikati ya kiroba wakakutana na kitu ya marijuana msala ndio ukaanzia hapo .

Je hii ni coincidence kwamba kuna wahuni walichanganya viroba wakabeba sio,utapeli mpya mjini au ubambikizwaji kesi za bangi???
Hapo unabambikiziwa tu
 
Habari wadau..!

Hii imewakuta watu ninao wafahamu.

Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni ubambikiwaji kesi au ni coincidence inatokea.

Usiniulize inakuwaje:Jamaa anahadithia alienda kwenye msiba mkoani wakati wa kurudi akafungashiwa mizawadi ya ndizi na mazagazaga alipofika stand akasimamishwa na watu wanajiita polisi jamii wakawapakia na mizigo yao mpaka kituo cha polisi, polisi wakachana katikati ya kiroba wakakutana na kitu ya marijuana msala ndio ukaanzia hapo.

Je hii ni coincidence kwamba kuna wahuni walichanganya viroba wakabeba sio, utapeli mpya mjini au ubambikizwaji kesi za bangi???
Ndiyo maana unaambiwa Abiria chunga mzigowako
 
michezo hii hipo sana kwa watu wanaosafiri au kurudi toka nje ya nchi kupitia airport.

kwa mfano unakwenda china kama kuna mtu hana kufahamu unaweza kushangaa kakupa mzigo kumbe kakushikisha alafu ufahamu kilichoingizwa.
 
Ile stand ya ubungo kasoro yake ilikuwa mpangilio mbovu na miundo mbinu isiyo rafiki Kwa abiria lakini hakukuwa na uswahili,uonevu na vibaka wengi kama hii stand mpya! Nahisi ni kwakuwa mabasi mengi hayana ofisi pale ingekuwepo nahisi abiria wasingekuwa wanasumbuliwa kama ilivyo Leo,rushwa na usumbufu wa hapa na pale

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tatizo jina mkuu,lile jina sio kabisa,wiite tu stendi ya mbezi
 
Back
Top Bottom