Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Rushwa,utapeli usumbufu Kwa abiria wasio na kosa waonekane Wana kosa hata mfumo wa watu kufanya y hauendani na hadhi ya standuonevu kama upi?
Sawa, hilo la customer care ndo ugonjwa wetu mwingine after hisabati lakini ganja ilikutwa kwenye mzigo wake! Do you really believe hiyo ganja jachomekewa hapo hapo kituoni wakati bila shaka mzigo ulifungwa?Mkuu Ile stand imejengwa vizuri sana ila customer care,wizi na vitisho mshenzi Kwa abiria vimezidi!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yani jina Magufuli tu bado linakutandikaKodi ni za wafuja jasho wa Tanzania lakini stand inaitwa kuwa ni stand ya Magufuli!Mtu mweusi ni takataka kabisa[emoji706][emoji706][emoji706]
Kwa hiyo unashauri turudi ubungo?Ile stand ya ubungo kasoro yake ilikuwa mpangilio mbovu na miundo mbinu isiyo rafiki Kwa abiria lakini hakukuwa na uswahili,uonevu na vibaka wengi kama hii stand mpya! Nahisi ni kwakuwa mabasi mengi hayana ofisi pale ingekuwepo nahisi abiria wasingekuwa wanasumbuliwa kama ilivyo Leo,rushwa na usumbufu wa hapa na pale
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1]No guts no mercy unaachaje begi la bangi asee
Hapo unabambikiziwa tuHabari wadau..!
Hii imewakuta watu ninao wafahamu.
Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpk polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga ,keko au Segerea sijajua ss kama ni ubambikiwaji kesi au ni coincidence inatokea.
Usiniulize inakuwaje:Jamaa anaadithia alienda kwenye msiba mkoani wakati wa kurudi akafungashiwa mizawadi ya ndizi na mazagazaga alipofika stand akasimamishwa na watu wanajiita polisi jamii wakawapakia na mizigo yao mpaka kituo cha polisi ,polisi wakachana katikati ya kiroba wakakutana na kitu ya marijuana msala ndio ukaanzia hapo .
Je hii ni coincidence kwamba kuna wahuni walichanganya viroba wakabeba sio,utapeli mpya mjini au ubambikizwaji kesi za bangi???
Wakati mwingine kama ni begi lenye zipi ni bora uweke na kakufuri kadogo kulinda mali zako pia na michezo kama hyo kwani likifunguliwa utajua tu. Au yale ya password ndio mazuri zaidi.Makini sana upo🙌
Nakumbuka get off the x ya mdau mmoja apa jfHii inaitwa stay out from X
Alibambikiziwa wapi kijijini,stand au kituo cha polisiHapo unabambikiziwa
Ndiyo maana unaambiwa Abiria chunga mzigowakoHabari wadau..!
Hii imewakuta watu ninao wafahamu.
Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni ubambikiwaji kesi au ni coincidence inatokea.
Usiniulize inakuwaje:Jamaa anahadithia alienda kwenye msiba mkoani wakati wa kurudi akafungashiwa mizawadi ya ndizi na mazagazaga alipofika stand akasimamishwa na watu wanajiita polisi jamii wakawapakia na mizigo yao mpaka kituo cha polisi, polisi wakachana katikati ya kiroba wakakutana na kitu ya marijuana msala ndio ukaanzia hapo.
Je hii ni coincidence kwamba kuna wahuni walichanganya viroba wakabeba sio, utapeli mpya mjini au ubambikizwaji kesi za bangi???
Kabisa yaniNakumbuka get off the x ya mdau mmoja apa jf
John. F . Kennedy international airport ipo Malawi au Namtumbo?Kodi ni za wafuja jasho wa Tanzania lakini stand inaitwa kuwa ni stand ya Magufuli!Mtu mweusi ni takataka kabisa🚮🚮🚮
Tatizo jina mkuu,lile jina sio kabisa,wiite tu stendi ya mbeziIle stand ya ubungo kasoro yake ilikuwa mpangilio mbovu na miundo mbinu isiyo rafiki Kwa abiria lakini hakukuwa na uswahili,uonevu na vibaka wengi kama hii stand mpya! Nahisi ni kwakuwa mabasi mengi hayana ofisi pale ingekuwepo nahisi abiria wasingekuwa wanasumbuliwa kama ilivyo Leo,rushwa na usumbufu wa hapa na pale
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hilo ni li sadist flani.John. F . Kennedy international airport ipo Malawi au Namtumbo?