Kuwa makini na mzigo wako unapofika Stendi ya Magufuli, unaweza kujikuta unaozea Segerea

sheria namba moja kwenye maisha "usimuamini mtu yeyote yule hata kama ni baba yako mzazi"
 
Ni
Hapo unabambikiziwa tu
Alibambikiziwa wapi kijijini,stand au kituo cha polisi
Kushuka kwenye gari na mzigo wako, watu waje direct wakukamate. Mh. Kwani PGO inasemaje[emoji3][emoji3]
PGO tena
 
Ndiyo maana yule mjinga alisema watu wote washukie hapo kumbe ndiyo agenda waliyokuwa nayo ya kuumiza wanyonge ili wapate rushwa
 
Kuna miaka fulani nlikuwaga nchi moja sasa nikawa nasafiri kwenda nchi jirani kufika border
Kwenye ukaguzi,midogi ikawa inanishangilia kuninusa ......
Nlikuwa nimevaa jeans ya mwana ....mwana alikuwa anavuta sana mi ashh(challas)
Ile nguo nliyovaa ilikuwa inanuka mi ashh tupu😂nkawekwa benchi pigwa maswali sema nlijielezea wakaelewa wakaniachia
Nkaendelea na safari yangu,ila kama mtu legelege unaweza kubaki

Ova
 
Kuna matatu;
1. kachanganyiwa
2. Kabebeshwa toka alipotoka
3. Ni kazi yake.

Pole sana kwa Mwamba, ila kwa kufuatwa moja kwa moja huo mzigo katoka nao mbali sana ama kwa namba 2 au 3
 
Kodi ni za wafuja jasho wa Tanzania lakini stand inaitwa kuwa ni stand ya Magufuli!Mtu mweusi ni takataka kabisa[emoji706][emoji706][emoji706]
Basi leta jina la mamako tuandike pale nje

USSR
 
Ukikamatwa na bhange kilo 2 ukazina mahakamani kwamba sio kilo 2 ni 10 sheria inasemaje hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…