Kuwa makini na vijisenti vyako, unatongoza tongoza hovyo, unaishia kuwekwa mtu kati unalipa fidia ya ugoni.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
unaweza kuchukulia poa ila ukweli ni kwamba bwana na mke wake wanaweza panga njama za kula pesa zako.

Hizi ishu zimeishafanyika sana sema tu huwa ni chini chini mtaani.

Bwana anajua unatembea na mke wake alafu na yeye akiangalia hali yake apechi alolo na pesa ya kulipa mabaunsa wakufumue choo hana kwa hio anachofanya anapanga fumanizi zuri na mke wake anaitika na wewe pia unategeka.

Either unamlipa kishkaji au anachukua evidence anaenda mahakamani na anadai pesa ya maana.

Kuwa makini, pussy is power.
 
Sasa tutajuaje kama wamepanga na kipuli umeletewa ok suluhisho ni kupiga kama wataalamu wanavyotaka ili amluke Ndugu yake😁😁😁
 
Kipindi bado niko chalii kuna jamaa huku striti kwetu walimfanyia zengwe kama hili.
Ilikua ndo mara ya kwanza naona fumanizi.
Nakumbuka jamaa alikua mpole tu akiendelea kukomaa kua hajamshenyeta yule manzi bali alikuja kwake kugonga hodi kama jirani, akaingia ndani ghafla mwenye mke akajaza watu kua n fumanizi.
Akaambiwa alipe mapene kibao, i remember ilikua 60,000 (kwa time hyo ulikua unaweza kufuga mbuzi wa kutosha kwa hyo hela.). I remember alikuja kwa mshua akaweka bondi redio yake akapewa kias cha fedha akaenda kumlipa.
Lakini matendo yaliyofuatia after hyo scenario hua yananipa picha kua jamaa hakuhusika
KWanza jamaa alihama mtaa akahamia kwengine kabisa.
Wale wanandoa sasa, mwanaume alikaa kaa akasepa akaenda dar nafkiri kua konda wa zile UDA. Hajawahi kurudi. Last time nlimuona kwenye picha ya siku ya supu ya yanga, picha ninayo lakn kwa heshma yake siiweki.
Wife wake akaanza kugawa papa everywhere, ana watoto kama 3 wa wanaume tofaut apart frm mume wake. Na binti akafuata nyayo zake. Mpaka leo n kama hana ramani zaidi ya kupigishana mdomo na wamama. Maybe karma is truly a byatch, who knows?
All in all, kwenye fumanizi hata baunsa anakua kama mtoto mdogo.
 
Huu mchezo upo Sana unaweza kutegewa

Mke wa MTU fake
Mwanafunzi fake
Demu wa MTU fake

So ili usifike huku jithadi usitembee na mwanamke mnayetoka the same location au mnayefanya wote kazi.

Sasa hivi watu wanatafuta PESA kwa nguvu Sana.
 
Hahajaj

Haya mambo yapo watu wanadhania ni movie hahah

Ahsante mkuu kwa stori murua
 
Huu mchezo upo Sana unaweza kutegewa

Mke wa MTU fake
Mwanafunzi fake
Demu wa MTU fake

So ili usifike huku jithadi usitembee na mwanamke mnayetoka the same location au mnayefanya wote kazi.

Sasa hivi watu wanatafuta PESA kwa nguvu Sana.
Kabisa mkuu.

Hali ni tete.

Na hali tete huzaa watu watata.
 
Back
Top Bottom