Kipindi bado niko chalii kuna jamaa huku striti kwetu walimfanyia zengwe kama hili.
Ilikua ndo mara ya kwanza naona fumanizi.
Nakumbuka jamaa alikua mpole tu akiendelea kukomaa kua hajamshenyeta yule manzi bali alikuja kwake kugonga hodi kama jirani, akaingia ndani ghafla mwenye mke akajaza watu kua n fumanizi.
Akaambiwa alipe mapene kibao, i remember ilikua 60,000 (kwa time hyo ulikua unaweza kufuga mbuzi wa kutosha kwa hyo hela.). I remember alikuja kwa mshua akaweka bondi redio yake akapewa kias cha fedha akaenda kumlipa.
Lakini matendo yaliyofuatia after hyo scenario hua yananipa picha kua jamaa hakuhusika
KWanza jamaa alihama mtaa akahamia kwengine kabisa.
Wale wanandoa sasa, mwanaume alikaa kaa akasepa akaenda dar nafkiri kua konda wa zile UDA. Hajawahi kurudi. Last time nlimuona kwenye picha ya siku ya supu ya yanga, picha ninayo lakn kwa heshma yake siiweki.
Wife wake akaanza kugawa papa everywhere, ana watoto kama 3 wa wanaume tofaut apart frm mume wake. Na binti akafuata nyayo zake. Mpaka leo n kama hana ramani zaidi ya kupigishana mdomo na wamama. Maybe karma is truly a byatch, who knows?
All in all, kwenye fumanizi hata baunsa anakua kama mtoto mdogo.