Kuwa makini sana na ndugu yako wa damu hasa yule ambaye mmeshibana

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Nina ndugu wengi kidogo ila kwasababu fulani nimekuwa karibu na huyu ndugu mmoja kuliko ndugu wengine.

Anajua maisha yangu almost 80%. Baada ya kufanya uchunguzi wa kina nimebaini kuwa ana chuki za kimaendeleo

Jambo lolote la kimaendeleo nikimshirikisha tu sifanikiwi.

Naweza kuorodhesha hata mambo kumi ambayo tayari yalikuwa yameiva ila baada tu ya kumsimulia all things fall apart.

Kama umetoka katika familia zilizojaa chuki na uchawi kuwa makini sana. Ikiwezekana hama kabisa uhamie mkoa mwingine au nchi nyingine kwa ustawi wako.
 
Nina ndugu wengi kidogo ila kwasababu fulani nimekuwa karibu na huyu ndugu mmoja kuliko ndugu yangu mwingine yeyote.

Anajua maisha yangu almost 80%. Baada ya kufanya uchunguzi wa kina nimebaini huyu ndugu ni mchawi. Yawezekana yeye mwenyewe hajijui kuwa ni mchawi ila ana uchawi ndani yake.

Nitasimulia kisa kimoja tu .

Mwezi February nilianza kuwa content creator Facebook.

First day views nikapata 20 nikaona it's good move na kuamini baada ya siku 5 nitarise sana. Ninemsimulia tu kilichofuata ni majanga. Baada ya kupanda nikashuka.

Nikaacha kumsimulia huku naendelea kupambana kimya kimya mpaka majuzi per day nikawa na views laki 5 mpaka millioni 1. Nikamsimulia , kilichofuata from one million per day to under 1000 people per day.
Kila ndani ya dk moja tarehe 29-30 nilikuwa napata followers 2- 10 lakini tangu nimwambie siku iliyofuata nikapata followers chini ya 10 kwa masaa 24.
Yaani followers niliokuwa nawapata kwa dk moja nikawapata kwa masaa 24 na siku ya tarehe 01 sikupata hata followers 1.
Ndipo nikashituka kuwa huyu ndugu ni mchawi.
Be careful ndugu
Uzwazwa mwingine bwana. Je ukipata kisa tofauti na kinyume na hicho, utajenga hitimisho gani? Ujinga ni kudhani ujuacho wewe ni kila kitu kwa kila mtu.
 
Nina ndugu wengi kidogo ila kwasababu fulani nimekuwa karibu na huyu ndugu mmoja kuliko ndugu yangu mwingine yeyote.

Anajua maisha yangu almost 80%. Baada ya kufanya uchunguzi wa kina nimebaini huyu ndugu ni mchawi. Yawezekana yeye mwenyewe hajijui kuwa ni mchawi ila ana uchawi ndani yake.

Jambo lolote la kimaendeleo nikimshirikisha tu sifanikiwi.

Naweza kuorodhesha hata mambo kumi ambayo tayari yalikuwa yameiva ila baada tu ya kumsimulia all things fall apart.

Kama umetoka katika familia zilizojaa chuki na uchawi kuwa makini sana. Ikiwezekana hama kabisa uhamie mkoa mwingine au nchi nyingine kwa ustawi wako.
Nitasimulia kisa kimoja tu .

Mwezi February nilianza kuwa content creator Facebook.

First day views nikapata 20 nikaona it's good move na kuamini baada ya siku 5 nitarise sana. Ninemsimulia tu kilichofuata ni majanga. Baada ya kupanda nikashuka.

Nikaacha kumsimulia huku naendelea kupambana kimya kimya mpaka majuzi per day nikawa na views laki 5 mpaka millioni 1. Nikamsimulia , kilichofuata from one million per day to under 1000 people per day.
Kila ndani ya dk moja tarehe 29-30 nilikuwa napata followers 2- 10 lakini tangu nimwambie siku iliyofuata nikapata followers chini ya 10 kwa masaa 24.
Yaani followers niliokuwa nawapata kwa dk moja nikawapata kwa masaa 24 na siku ya tarehe 01 sikupata hata followers 1.
Ndipo nikashituka kuwa huyu ndugu ni mchawi.
Be careful ndugu
Mambo yako usithubutu kumwambia Mtu, adui wa mtu ni yule wa nyumbani kwake. Be carefully kuongea mambo yako ya mafanikio kwa watu
 
Mkuu huyo mganga atakumalizia kuku wako bure
 
Another obsessed person huku. Weka mipango yako sawa. There's no uchawi. Utachukia nduguyo bure tu. Hizi ni dalili za uchoyo, ushamba na kuigaiga. Umejuaje ni mchawi umempima!?
 
Bro njoo huku kwenye mbingu mpya mji mpya na mji mpya

Huku hamnaga giza maana Kristo katugeuza sisi kuwa nuru na tunaishi kwenye nuru yake milele

Utaumiza ndugu zako buree hakuna uganga wala uchawi ndani ya mbingu mji na nchi mpya Nuru ya mwanakondoo ndio ituangaziayo
 
Majeshi Majeshi,
 
inawezekana mchawi ni wewe mwenyewe, acha kumsagia kunguni huyo nduguyo.
 
Nina ndugu wengi kidogo ila kwasababu fulani nimekuwa karibu na huyu ndugu mmoja kuliko ndugu yangu mwingine yeyote.

Anajua maisha yangu almost 80%. Baada ya kufanya uchunguzi wa kina nimebaini huyu ndugu ni mchawi. Yawezekana yeye mwenyewe hajijui kuwa ni mchawi ila ana uchawi ndani yake.

Jambo lolote la kimaendeleo nikimshirikisha tu sifanikiwi.

Naweza kuorodhesha hata mambo kumi ambayo tayari yalikuwa yameiva ila baada tu ya kumsimulia all things fall apart.

Kama umetoka katika familia zilizojaa chuki na uchawi kuwa makini sana. Ikiwezekana hama kabisa uhamie mkoa mwingine au nchi nyingine kwa ustawi wako.
Nitasimulia kisa kimoja tu .

Mwezi February nilianza kuwa content creator Facebook.

First day views nikapata 20 nikaona it's good move na kuamini baada ya siku 5 nitarise sana. Ninemsimulia tu kilichofuata ni majanga. Baada ya kupanda nikashuka.

Nikaacha kumsimulia huku naendelea kupambana kimya kimya mpaka majuzi per day nikawa na views laki 5 mpaka millioni 1. Nikamsimulia , kilichofuata from one million per day to under 1000 people per day.
Kila ndani ya dk moja tarehe 29-30 nilikuwa napata followers 2- 10 lakini tangu nimwambie siku iliyofuata nikapata followers chini ya 10 kwa masaa 24.
Yaani followers niliokuwa nawapata kwa dk moja nikawapata kwa masaa 24 na siku ya tarehe 01 sikupata hata followers 1.
Ndipo nikashituka kuwa huyu ndugu ni mchawi.
Be careful ndugu
Umechelewa sana. Ndugu yangu niliyeshibana naye sana NDIYE aliyeenda kuuza siri zangu kwa washindani wangu wa kibiashara ambao ni maadui zangu wakubwa. Mungu akubariki sana John Mwaipungu popote pale ilipokuwa, snitch si mwana
 
images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom